Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali


mjinga babaako na mamaako mbwa we wamekurithisha ujinga kutukana wakubwa zako kenge maji wewe kama hujafunzwa adabu nitakunza mimi
 

-Umeongea vema ila nkujuze kidogo tuu, Kocha anapotaka kumsajili mchezaji ni lazima board nayo itoe mapendekezo.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema huyu Cristiano ronaldo haniwezi kabisa

Ratiba yangu kwa siku itakua hivi

Nadamka alfajiri nakimbia baharini kutafuta pumzi hadi saa tatu narudi home napata chai nahamia gym natafuta stamina na kuongeza nguvu

Mchana baada ya chakula nafanya mazoezi ya kupigana kulia na kulaumu

Jioni nafanya mazoezi ya kupiga penati kupiga faulo na kujiangusha

baada ya hapo madrid wanipange waniamini pasi zote zije kwangu penati zote nipewe mimi
nikinyimwa pasi nalia na kutukana mchezaji wa timu pinzani akiniudhi nampiga mateke na ngumi.
 
Mtoa post unajipunguzia heshima yako.....
Sio lazima jaman kila mtu aweke post humu wengine mnaweza kuwa wachangiaji tu!!!
 
Mtoa post unajipunguzia heshima yako.....
Sio lazima jaman kila mtu aweke post humu wengine mnaweza kuwa wachangiaji tu!!!

Heshima kama dili chukua wewe ukawalishe wanao
kipi cha uongo hapo ?
 
You are too obsessed with Ronaldo bro. Nakuambia tena, hali hii sio nzuri kwa afya yako!!!
 
Linapokuja swala la kabumbu.... Messi ni mtakatifu. Hana dhambi.

Wakristu wana Yesu
Waislam wana Mohammad
Soka lina Messi

Messi ni mbora kwa kiazazi hiki ila hakaribii utakatifu mnaompa.. Mie namkubali Sana andunje kwa robot, ila mnamuongezea vtu ambavyo sio kwamba Hana tu ila hata matendo yake yanapingana na sifa hizo
 
Messi ni bora kuliko Cristiano.
Messi si bora kabisa kuwahi kutokea, yet.
Messi si innocent wala mtakatifu, ni mahaba yenu tu.

Hicho tu ndio huwa napingana na washabik wenzangu wote Wa andunje messi, maana wanampa utakatifu asiokuwa nao
 
alimaanisha kwa sasa mnamuona hafai alafu mnamsubiri afe ili dunia ianze kumkumbuka oooh mara hakuna kama yeye mara hv wakati huo yupo heaven

Jombaa Mimi sisem kuwa messi c mchezi bora au hafai, LA hasha kwa kizaz hiki ni bora Sana kwa aliokuwa nao.. Ila ugomv upo ktk utakatifu wanaompa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…