A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Apr 16, 2015 #221 makaveli10 said: Hicho tu ndio huwa napingana na washabik wenzangu wote Wa andunje messi, maana wanampa utakatifu asiokuwa nao Click to expand... Kipi kinamfanya asiwe mtakatifu?
makaveli10 said: Hicho tu ndio huwa napingana na washabik wenzangu wote Wa andunje messi, maana wanampa utakatifu asiokuwa nao Click to expand... Kipi kinamfanya asiwe mtakatifu?
I ikisimama panda JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 2,716 Reaction score 2,388 Apr 16, 2015 #222 ronaldo anakosea sana kwa game kubwa,, huwez kuwa unategemea kucheza game decisive aaf ukakaa siku tatu bila kwenda chooni,, wepesi utautoa wapi? sana sana utaishia kuwajambia wenzako uwanjani
ronaldo anakosea sana kwa game kubwa,, huwez kuwa unategemea kucheza game decisive aaf ukakaa siku tatu bila kwenda chooni,, wepesi utautoa wapi? sana sana utaishia kuwajambia wenzako uwanjani
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Apr 20, 2015 #223 gsu said: mleta mada mwenyewe mgonjwa. Click to expand... Ni afadhali tumpe pole! Hakuna club yoyote ambayo R7 hajawahi kuona nyavu zao! Lakini Messi hajawahi kuziona nyavu za chelsea!
gsu said: mleta mada mwenyewe mgonjwa. Click to expand... Ni afadhali tumpe pole! Hakuna club yoyote ambayo R7 hajawahi kuona nyavu zao! Lakini Messi hajawahi kuziona nyavu za chelsea!