Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali


Wewe hujielewi umekuja na drama zenu na mchezaji wenu wa mechi ndogo na penati
 
messi ni zaidi ya Ronaldo anaebisha huwa anakuwa na chuki tu na anduje yule
 
nimewapa fact hapo la liga siiangalii ila uefa naangalia ndio maana nimewatajia mechi kubwa ambazo ronaldo ni mavi sasa mechi ipi kubwa ronaldo kafanya vizuri mnakuja na taarabu zenu hapa tokeni

Mkubwa una matatizo xana tangu Ronaldo ameenda Spain yy ndio anaongoza Kwa magoli kweny uwanja wa nou camp ana magoli 9 Na messi ana matano tu, cjui unazungumzia fact gan we?
 
Mkubwa una matatizo xana tangu Ronaldo ameenda Spain yy ndio anaongoza Kwa magoli kweny uwanja wa nou camp ana magoli 9 Na messi ana matano tu, cjui unazungumzia fact gan we?

kajifunze kuandika kwanza
 
nyie wote inaelekea hamumfahamu Ronaldo! ukienda pale manzese utamkuta.
 
Huwa nashangaa sana na ubishani wa nani mkali kati yao,lakini mimi watu huwaambia mbona mkali anajulikana ubishi wa nini?Njia fupi ya kutegua hilo ni rahisi sana tafuta mechi ambayo mmoja wa hao anacheza halafu uwe makini pale mchezaji husika anapopewa mpira vile vitu anavyofanya pale mpaka anatoa pasi....na role yake ktk kujenga combination na wenzake...ukiweza gundua hilo wala huna haja ya kubishana kua nani mkali kati yao,nakumbuka mwezi ulopita mfalme wa soka Pelle alipoulizwa swali hilo alijibu...'Ronaldo ni bora...lakini Messi ni bora tena bora zaidi..'Jana cr 7 kacheza kawaida sana na ndio uchezaji wake..atavizia...atajiangusha...atananua mikono kulaumu...atanuna na kutukana asipopewa pasi! Leo tuwepamoja runingani kushuhudia game lingine hebu chukua tafiti ndogo umuangalie moment messi anapokua na mpira nini anafanya halafu compare na ulivyomwona Cr7 jana jibu unalipata fasta
 
Na wewe je tukulinganishe na mtu gani kwenye kile unachofanya?
 

Nakutafutia post pale azam tv ili utangaze na kuchambua soka
 

Mtoa mada na mawazo ya chooni.....namashaka na iQ yako mkuu
 
-Sijui niseme nini juu ya Messi ila Messi ndiye mchezaji bora zaidi ambae nimemshuhudia ktk macho yangu tangu nianze kuangalia mpira nikiwa darasa la nne.
 
Messi is the best world player,christiano is real madrid best player-FABIO CAPELLO 14/04/16.
 
Messi il migliore del mondo e christiano e migliore del real madrid -fabio capello 14/415
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…