Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali


Messi is world best player,christiano is real madrid best player -FABIO CAPELLO14/4/15
 
Mkubwa una matatizo xana tangu Ronaldo ameenda Spain yy ndio anaongoza Kwa magoli kweny uwanja wa nou camp ana magoli 9 Na messi ana matano tu, cjui unazungumzia fact gan we?

-Mkuu, naomba udadavue kidogo hapo.
-Ronaldo ana magoli 9 Camp Nou na Messi ana 5 Camp Nou. Kiaje yaani, embu dadavua kidogo.
 
Leo Barcelona ya Messi ipo uwanjani kupambana na PSG ya Ufaransa ambao ni wababe wa Chelsea. Mtazame Messi anavyokokota mpíra,anavyopíga pasi,anavyoshambulia na kucheza kitimu. Halafu mtofautishe katika uhalali na Ronaldo alichokifanya jana.

Messi ataionyesha dunia asivyo mlalamishi,anayelenga timu zaidi yake na anayekubali matokeo. Messi atanogesha pasi murua za Barcelona na kuhitaji lundo la wakumkaba. Una nafasi ya kumtofautisha na Ronaldo leo.

Karibuni waungwana wa soka
 
Boss, kwanza hakuna Real Madrid ya Ronaldo wala mtu yoyote yule. Na Ronaldo hachezi Madrid, matter-fact hachezi kabisa, ameshastaafu.

Pili, binafsi nakubali Messi ni zaidi ya Cristiano Ronaldo, ila huyu Messi mnayem-paint utakatifu si ndio alimgomea coach kutolewa uwanjani, na kukwaruzana na Lucho mazoezini, ama ni yupi?

Acheni hizi mambo bana, sifia wa kwako ila usimuongelee vibaya mwingine.
 

Eleza vyema ueleweke mkuu. Aliyecheza jana Real Madrid ni Lunyamila? Si Ronaldo? Leo unamkataa? Wewe kiboko
 
Uko mbali sana. Acha kuzuga na kujificha kwenye majina. Ronaldo De Lima alishaondoka muda mwingi kwenye soka. Ronaldo wa sasa ni CR. Hata mgongoni anaandikwa Ronaldo

hahahahahahahhahahah anajifanya hamjui Roaldo. Hahahahhahaha
 
Little reminder kwa Messi fan-boys, Mwaka jana Messi wenu alishindwa kuisaidia Barca kwenye final ya Copa del Rey, ikaja La Liga game ya mwisho vs Atleti akachemka, ikaja final ya WC akachemka. That's 3 finals in a row that he choked, ndani ya miezi mi-3.

Punch-line, he's only human, so zimeni fegi hizo.
 
Messi kumuangalia tu anavyochezani burudani tosha hata kama timu yake inafungwa!..na hili lipo wazi
 

Alikuwa majeruhi. Kila mtu anajua kuhusu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…