Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Messi leo kuna uwezekano mkubwa wa kushinda
 
TUPACified

Pole zako hata cr alikuwa anagomba na jose na ndio sababu ya kuondoka
 
Last edited by a moderator:
Ronaldo kashaifunga barca mara 15 na atletico mara 15..kuna game gani kubwa kama Clasico kwasasa duniani mpaka useme hana impact mechi kubwa??

utapata vudonda vya tumbo kwa kupambana na messi we muulize ronaldo kawa wa 29 kwa viwango vya mchezaj bora kwa ribo mwaka 2015 baada ya kusema anataka kuvunja rekod ya mess balon dor
 
utapata vudonda vya tumbo kwa kupambana na messi we muulize ronaldo kawa wa 29 kwa viwango vya mchezaj bora kwa ribo mwaka 2015 baada ya kusema anataka kuvunja rekod ya mess balon dor

nikajua kawa wa 29 kwenye balon d'or
 
kuwafananisha hawa wawili ni sawa na kufananisha mji wetu mkuu wa dodoma na mji mkuu wa marekani washington nikimaanisha kuwa messi ndiyo washington na ronaldo ndiyo dodoma.
 
La liga top scores
Ronaldo;38 goals with 28 match
Messi;34 goals with 31 match
 
Pamoja naangalia burudani toka kwa Mess na Barcelona yake.

Kumwangalia Mess anavyocheza Sawa na kucheki game kwenye computer.

Inasemekana malaika mbinguni wamesimama kuimba, wote wanamwangalia Messi akicheza mida hii.
 
La liga top scores
Ronaldo;38 goals with 28 match
Messi;34 goals with 31 match
Haha mkuu mbona messi ameassist walioassist kuwaassist walioassist wafungaji magoli pale barca,tena messi ndio anaongoza
 
Inasemekana malaika mbinguni wamesimama kuimba, wote wanamwangalia Messi akicheza mida hii.

Mess unaufanya mpira uonekane ni kazi rahisi rahisi tu ambayo hata mzembe unaweza kuucheza.
 
Hivi huyu ronaldo ana impact gani na mechi kubwa ?
Hivi mechi gani kubwa Ronaldo kawa man of the match ??
Kila nikiangalia ronaldo mechi kubwa ni mavi tu

Ile mechi na dortimund aliishia kufichwa na schmeizer mechi nzima mwisho wa mechi wanakula goli nne

Ukija na bayern munich aibu niliona mimi jinsi anavyofichwa na Philipe lahm alimuiba kabisa

hawa liverpool ndio walimficha ronaldo mbaya zaidi alifichwa na kolo toure huyu aliyeisha mwishoni akapewa goli la penati tena hakusababisha yeye

Mechi ya mwisho walipokutana na barcelona mwisho wa mechi Ronaldo alionekana akimwambia benzema "we were all shit"
alitaka nani akusaidie

wote mashahidi kombe la dunia jamaa alichofanya alibahatika goli moja akatoka makundi hakuwa na positive impact hata kwa ghana

Ronaldo hatembei na mpira siku hizi labda uzee umemfika akinyimwa pasi anatukana analalama mpaka vyombo vya habari vinajua hilo

He is overrated player

Unajua jana alikuwaje pale Vicente Cardelon aibu niliona mimi
Katika mechi saba alizokutana na Ateltico ameshinda goli moja msimu huu sitaki kuzungumzia fainali ya Uefa msimu uliopita alisubiri penati ndio avue nguo zake uwanjani baada ya kukutana na wanaume

Asante kwa statistics zako na Mimi naomba nikupe zangu.
Msimu uliopita messi alicheza fainali mbili.
1.world cup na Germany alishindwa kuisaidia timu
2.copa del Rey dhidi ya Madrid hakufunga goli wala kuisaidia timu
3.uefa quarter final against atletico madrid alishindwa kuisaidia timu
4.mechi ya kuamua ubingwa wa la liga dhidi ya atletico Madrid hakufunga wala kuisaidia timu.
Magoli aliyofunga na assists alizotoa msimu uliopita ameshindwa kutoa kwenye match muhimu
 
Back
Top Bottom