Kuanzia leo hii sitaki ubishano wa Ronaldo na Messi nani mkali

Huna haja kuongea maneno mengi unapolitaja jina la Messi...

Mambo aliyoyakamilisha tayari yanazungumza yenyewe...
Yani ni sawa na kuizungumzia ACT bila kumtaja Zitto.

Kuna watu waliletwa duniani ili mpira ufurahi... Messi hapendi mpira ila mpira unampenda Messi.
 
Nabii hakubaliki nyumbani kwake.... Hata Yesu alikataliwa kwao....:rockon:
 
Same to me brother, Ricardo izecson dos santos Leite alikuwa mchezaji, nadiriki kusema tuzo ya mwisho fair ya ballon d or alipewa huyu bwana. Baada ya hapo ni fujo mtindo mmoja, mara kura ziibiwe, mara vigezo visieleweke, full drama.

Kwa sasa mchezaji ninayemuona ana talent isiyo shaka ni James Rodriguez, atakuwa na bright future huyu dogo
 
Real talk man.
Messi ndio responsible kwa careers za David Villa na Ibra kutofana Barca. Messi ndio anamfukuzisha kazí Lucho mwisho wa msimu. Messi mkwepa kodi. Messi mpita na hela za charity matches. Messi huyo huyo alipigwa sindano za dawa za farasi(not) ili akue. Messi huyo huyo alishajibizana publicly na then makamu wa Rais barca(Bartomeu nadhani), kuhusu kuongeza mkataba.

Ila bado, Messi ni mtakatifu? SMDH.
 
Hongereni Cules. Kumbukeni tu kwamba European Nights are blanco, sio rangi nyingine yoyote.

On another note, nadhani mnatuachia namba yetu moja pale kwenye ligi come this weekend. Grande Valencia, in advance
 
Best prayer in Argentina ni Di Maria
Best prayer in Barcelona ni mascherano
Best prayer in la liga ni C.Ronaldo
Best prayer in Europe ni C.Ronaldo
Best prayer in the World ni C.Ronaldo.
Nyie mnayesema messi ni bora labda tuzo za jf
 
10 Years. Three different numbers on the back.
With one club and one country. 529 first team
games. 405 goals. Record of 91 goals in a year.
Record of 73 goals in a season. Record of 50
goals in a La Liga campaign. Record of most
consecutive league games scored in (21) Record of
most international goals in a year (25) Most
Golden Boot awards - 3 Most UCL top goalscorer
awards - 4 [in a row, another record] Most
hattricks in UCL. Most goals scored in a single UCL
game (5) Most goals scored in UCL knockout
phases (31) Record for scoring in maximum
number of cities (21) 2 Shy of All time La Liga
record for goals. Most away goals scored in La
Liga. Most goals scored for a single club in La
Liga. Most la liga hattricks in a season (8)
Youngest player to score 200 Liga goals. Most
goals scored in El Clasico. Most assists given in El
Clasico. Most Fifa Ballon D'or awards - 4 [in a row,
another record] 6 La Liga titles. 3 Uefa Champions
League titles. 2 Copa Del Rey titles. 6 Spanish
Supercup titles. 2 Uefa Supercups. 2 Club World
Cups. U20 FIFA World Cup. Olympic Gold Medal.
Runner up, FIFA World Cup. Runner up, Copa
America. 2014 World Cup Dream team, best
player. UEFA Team of the year 5 years in a row.
Footballer of the year (argentina) 8 times. ESM
team of the year 7 times. FifPro World XI 7 times.
El Pais King of European Soccer 4 times. Trofeo
Alfredo Di Stefano 3 times. Marca legend award.
ESPY International Awards Best Athlete. Tuttosport
Golden Boy. Bravo Award World Soccer Young
player of the year 3 times. FifPro World Young
player of the world 3 times. La Liga Ibero-
American player of the year 5 times. La Liga best
forward 5 times. Pichichi award 3 times. La Liga
foreign player of the year 3 times. La Liga player of
the year 5 times. U20 world cup best player.
L'Équipe Champion of Champions Fifa Club World
Cup Golden ball 2 times. UEFA best player in
Europe award. World Greatest Soccer XI of all time.
Onze D'or 3 times.
 
KUNA UBISHI TENA JUU YA NAN ZAID KAT YA GIZA NA NURU aaaah samahani ni jati ya MESSI na PENADO
 
Makombe yap mkuu? sababu kati ya barca na madrid kiujumla mwenye makombe mengi toka klabu hiz zianzishwe ni BARCELONA sasa labda ungesema makombe ya shindano fulani
 
Nyie mlioanza kushabikia mpira late 2000s mna matatizo kweli. Kwa kipi hasa messi akubaliwe kuzidi Legends.?

Ila siyo kosa lenu, mmeanza kushabikia mpira kipindi ambacho wachezaji wanaojua mpira wamekwisha duniani.

10 Years. Three different numbers on the back.
With one club and one country. 529 first team
games. 405 goals. Record of 91 goals in a year.
Record of 73 goals in a season. Record of 50
goals in a La Liga campaign. Record of most
consecutive league games scored in (21) Record of
most international goals in a year (25) Most
Golden Boot awards - 3 Most UCL top goalscorer
awards - 4 [in a row, another record] Most
hattricks in UCL. Most goals scored in a single UCL
game (5) Most goals scored in UCL knockout
phases (31) Record for scoring in maximum
number of cities (21) 2 Shy of All time La Liga
record for goals. Most away goals scored in La
Liga. Most goals scored for a single club in La
Liga. Most la liga hattricks in a season (8)
Youngest player to score 200 Liga goals. Most
goals scored in El Clasico. Most assists given in El
Clasico. Most Fifa Ballon D'or awards - 4 [in a row,
another record] 6 La Liga titles. 3 Uefa Champions
League titles. 2 Copa Del Rey titles. 6 Spanish
Supercup titles. 2 Uefa Supercups. 2 Club World
Cups. U20 FIFA World Cup. Olympic Gold Medal.
Runner up, FIFA World Cup. Runner up, Copa
America. 2014 World Cup Dream team, best
player. UEFA Team of the year 5 years in a row.
Footballer of the year (argentina) 8 times. ESM
team of the year 7 times. FifPro World XI 7 times.
El Pais King of European Soccer 4 times. Trofeo
Alfredo Di Stefano 3 times. Marca legend award.
ESPY International Awards Best Athlete. Tuttosport
Golden Boy. Bravo Award World Soccer Young
player of the year 3 times. FifPro World Young
player of the world 3 times. La Liga Ibero-
American player of the year 5 times. La Liga best
forward 5 times. Pichichi award 3 times. La Liga
foreign player of the year 3 times. La Liga player of
the year 5 times. U20 world cup best player.
L'Équipe Champion of Champions Fifa Club World
Cup Golden ball 2 times. UEFA best player in
Europe award. World Greatest Soccer XI of all time.
Onze D'or 3 times. KWA NINI ASIWE BORA?
 
Kihistoria messi ni bora kuliko ronaldo.hilo halina ubishi.
Ila current ronaldo ni bora
 
yani ni sawa na kuizungumzia act bila kumtaja zitto.

Kuna watu waliletwa duniani ili mpira ufurahi... Messi hapendi mpira ila mpira unampenda messi.

umenena mkuu
 
MESSI HUYO HUYO 10 Years. Three different numbers on the back.
With one club and one country. 529 first team
games. 405 goals. Record of 91 goals in a year.
Record of 73 goals in a season. Record of 50
goals in a La Liga campaign. Record of most
consecutive league games scored in (21) Record of
most international goals in a year (25) Most
Golden Boot awards - 3 Most UCL top goalscorer
awards - 4 [in a row, another record] Most
hattricks in UCL. Most goals scored in a single UCL
game (5) Most goals scored in UCL knockout
phases (31) Record for scoring in maximum
number of cities (21) 2 Shy of All time La Liga
record for goals. Most away goals scored in La
Liga. Most goals scored for a single club in La
Liga. Most la liga hattricks in a season (8)
Youngest player to score 200 Liga goals. Most
goals scored in El Clasico. Most assists given in El
Clasico. Most Fifa Ballon D'or awards - 4 [in a row,
another record] 6 La Liga titles. 3 Uefa Champions
League titles. 2 Copa Del Rey titles. 6 Spanish
Supercup titles. 2 Uefa Supercups. 2 Club World
Cups. U20 FIFA World Cup. Olympic Gold Medal.
Runner up, FIFA World Cup. Runner up, Copa
America. 2014 World Cup Dream team, best
player. UEFA Team of the year 5 years in a row.
Footballer of the year (argentina) 8 times. ESM
team of the year 7 times. FifPro World XI 7 times.
El Pais King of European Soccer 4 times. Trofeo
Alfredo Di Stefano 3 times. Marca legend award.
ESPY International Awards Best Athlete. Tuttosport
Golden Boy. Bravo Award World Soccer Young
player of the year 3 times. FifPro World Young
player of the world 3 times. La Liga Ibero-
American player of the year 5 times. La Liga best
forward 5 times. Pichichi award 3 times. La Liga
foreign player of the year 3 times. La Liga player of
the year 5 times. U20 world cup best player.
L'Équipe Champion of Champions Fifa Club World
Cup Golden ball 2 times. UEFA best player in
Europe award. World Greatest Soccer XI of all time.
Onze D'or 3 times NI MESSI HUTO HUYO MWENYE ASSIST NYIING TOKA LA LIGA IANZISHWE
 
Sure joh.. Mtu mjinga zaid ni mtu asiyekubali ukweli, na yuko radhi kuficha mapungufu ya mtu ili aonekane bora, messi ni mchezaj bora hilo silipingi ila haya mengine wakubaliane nayo tuu, messi akicheza uwanjan utaona kabsa mapungufu yake, sitaki kuamin kuwa messi anaposhindwa kufunga anakuwa na furaha kama kina ozil, fabregas au fundi gaucho eti kisa katoa pasi ya goli...

Mie aku hii ligi ya messi imenipwelepweta.. Nimebak na kina ibrahimovic, mtakatifu cazorla, juan mata, andrea pirlo, alonso, ozil, rooney, sanchez, matuidi. Sina tatzo hata kidogo wakiwa on fire nawakubali wakikosa kiwango najua ni binadam tu wa kawaida hawawez kuwa the same daima, na nakubali mapungufu yao. Sio messi n ronaldo mtu hatak hata kukubali ukweli. Ubishi wa kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…