Kuanzia leo Kubet basi, nastaafu rasmi

Kuanzia leo Kubet basi, nastaafu rasmi

Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana. Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena. Naomba mniombee wadau
Ligi zinaanza wewe ndo unastaafu! Umestaafu wakati mbaya. nipo hapa naokota buku buku za Virtual

1691651114317.png

------------------------------------------------------------------------------------------------

1691651168324.png

1691651319884.png

1691651465019.png
 
Attachments

  • 1691651287141.png
    1691651287141.png
    6.2 KB · Views: 7
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.

Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.

Naomba mniombee wadau
Mungu akupiganie,utaacha tu mkuu
 
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.

Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.

Naomba mniombee wadau
Kwanza kama ilikuwa una bet online inabidi uuze simu.
 
Nimekua mdau na Specialist wa kutandika mikeka toka 2017.nimefanya kazi hii kwa miaka 6 sasa, nimekula Mara kadhaa na kuliwa sana.

Nimepata pesa sana za kamari ila sijafanyia la maana lolote.Kwa sasa Nina miaka 38 na Naomba Mungu anisaidie nisibeti tena.

Naomba mniombee wadau
Kucheza kamari ni kujichimbia kwenye umaskini tu huku ukiwatajirisha wenye makampuni ya kamari. Chance ya kupata hela kwenye kamari ni 0.1%, yaani 99.9% unatupa pesa yako bure tu
 
Back
Top Bottom