Kuanzia leo mimi na wewe basi

Kuanzia leo mimi na wewe basi

Nakimbilia jf kupost .....
FB_IMG_16576260959588355.jpg
 
Umeamka zako asubuhi unakutana na meseji kutoka kwa mpenzi wako anakwambia" Kuanzia leo mimi na wewe basi "......Utamjibu nini?[emoji31][emoji31]
Haha mm kweli nimekutana nayo asubuhi hii. Baada ya dem nlimwambia aje mida ya saa mbili yy saa tisa usiku ndo anataka kuja nikamzimia simu
 
Watu wanavyojibu hapa rahisi rahisi tu wakati wanaliaga mpk kutoa kamasi haitoshi wanashirikisha mpk na jumuhia mbalimbali!.. mapenzi yanauma nyie kenge msijfanye kujibu simple..😂
 
Back
Top Bottom