Kuanzia leo nimeacha kuchepuka

Kuanzia leo nimeacha kuchepuka

zipumbovu

Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
22
Reaction score
344
Habari zenu wakuu.

Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.

Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga

Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote

Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
 
Badilisha na jina la ID kabisa. Hongera kwa yote. Sasa utoe na sadaka hizo hela ulizokuwa unahonga na kula na michepuko.
 
Ongera kwa maamuzi mazuri, sasa umejitenga na gono sugu pamoja na UTI sugu
 
Habari zenu wakuu.

Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.

Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga

Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote

Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.

Hongera kwa kujitambua.
Umeanza kuelewa Kwanini Mfalme Suleiman alisema ni ubatili mtupu na ni Sawa na kujilisha upepo?
Iła omba Robo Mtakatifu akukamatie la sivyo utajikuta unakutana na mwanamke inaanza kufanya yake yake yaaiyofaa.
 
Habari zenu wakuu.

Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.

Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga

Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote

Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
Uko wapi dear.......
 
Back
Top Bottom