Badilisha na jina la ID kabisa. Hongera kwa yote. Sasa utoe na sadaka hizo hela ulizokuwa unahonga na kula na michepuko.Habari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote
Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
Sio pesa na wewe.Pesa ikipungua mnajiliwaza eeh ?
Jasiri haachi asili.
Habari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia nimegundua kuchepuka kunaniweka mbali na MUNGU kwasababu mara nyingi nikitoka kuzini naona aibu hata kufanya sala yoyote
Kwaherini michepuko narudi kwa mke wangu mazima.
Uko wapi dear.......Habari zenu wakuu.