Kuanzia leo nimemkubali Ali Kiba. Alizaliwa kuburudisha

Ali Kiba anamvizia Diamond atoe wimbo na yeye atoe watu walinganishe. Hata kama hamsemi hili ila mnalijua.
 
Mjue life is too short to hate stuffs. Lets all appreciate good music.

Ikiwa ni Ally anakukosha dance the song, just move that body na ikiwa ni Diamond anakukonga moyo shake that body, hata ikiwa Mungu ibariki the national anthem unaipenda jifiche dance kwa sana.

Mambo ya uteam yametokaga wapi jameni...

Lets all love some good music simple like that..msanii wamkubali mpe support lakini kejeli za kuchambana kwenye net yooo..sio poa bana.

Msiende sawa na dunia hii...kila mmoja aheshimu mwenzake anachoona ni bora..basi inatosha..
 
Lakini muziki sio siasa kwamba unahitaji sana huu ustaarabu. Kwenye muziki kukejeli na kuponda inaruhusiwa tu na wala hilo halijaanza leo. Mambo ya ustaarabu yanaondoa burudani yote inayokuja na muziki. Kikubwa usitukane tu.
 
Umechelewa sana kuligundua hilo.anyway karibu katika club ya muziki mzuri.
 
For real.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…