Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022 sitosema, ctozungumza wa kuijadili wala kuikosoa wala kutoa ushauri kwa timu yangu, nitabakia humu humu kuangalia yanayoendelea ndani ya timu yetu
Nimefanya hivyo kwa sababu
1. Simba imevamiwa na viongozi na washabiki mfano wa Mwijaku ambao hawajui lolote lakini ndio wanaopewa thamani.
2. Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo
3. Wajinga wamekuwa wengi sana katika klabu yetu, hivyo hakuna dalili ya timu kufanya vzr.
4. Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.
5. Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi
6. Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.
7. Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu
Baada ya kutafakari kwa kina nimeona nikae pembeni niangalie mchezo unavyoendelea ndani ya klabi yetu, maana kila mwaka ikifika mechi ya 5 au 6 timu inapigishwa shoti.
Kila heri wadau wenzangu, nitachangia mengine lkn katika post zangu sitoiongelea tena Simba hadi mwakani januari.