Kuanzia leo sitosema lolote kuhusu Simba hadi 2024

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022 sitosema, ctozungumza wa kuijadili wala kuikosoa wala kutoa ushauri kwa timu yangu, nitabakia humu humu kuangalia yanayoendelea ndani ya timu yetu

Nimefanya hivyo kwa sababu

1. Simba imevamiwa na viongozi na washabiki mfano wa Mwijaku ambao hawajui lolote lakini ndio wanaopewa thamani.

2. Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo

3. Wajinga wamekuwa wengi sana katika klabu yetu, hivyo hakuna dalili ya timu kufanya vzr.

4. Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.

5. Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi

6. Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.

7. Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu

Baada ya kutafakari kwa kina nimeona nikae pembeni niangalie mchezo unavyoendelea ndani ya klabi yetu, maana kila mwaka ikifika mechi ya 5 au 6 timu inapigishwa shoti.

Kila heri wadau wenzangu, nitachangia mengine lkn katika post zangu sitoiongelea tena Simba hadi mwakani januari.
 
2.Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo

4.Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.

5.Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi

6.Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.

7.Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu

Kufungwa mechi mmoja tu mmeshaparanganika hivi

Mngepoteza mechi kumi si mngetoana roho nyie
 
Upepo utabadilika kwenye michuano ya kimataifa tuwe wa pole kwa sasa
 
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022 sitosema, ctozungumza wa kuijadili wala kuikosoa wala kutoa ushauri kwa timu yangu, nitabakia humu humu kuangalia yanayoendelea ndani ya timu yetu

Nimefanya hivyo kwa sababu

1. Simba imevamiwa na viongozi na washabiki mfano wa Mwijaku ambao hawajui lolote lakini ndio wanaopewa thamani.

2.Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo

3. Wajinga wamekuwa wengi sana katika klabu yetu, hivyo hakuna dalili ya timu kufanya vzr.

4.Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.

5.Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi

6.Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.

7.Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu

Baada ya kutafakari kwa kina nimeona nikae pembeni niangalie mchezo unavyoendelea ndani ya klabi yetu, maana kila mwaka ikifika mechi ya 5 au 6 timu inapigishwa shoti.

Kila heri wadau wenzangu, nitachangia mengine lkn katika post zangu sitoiongelea tena Simba hadi mwakani januari.
Bado hujasema, mpaka useme e!
 
Hivi wewe mbona kama mwandiko wa Genta huu hahahaha
 
Simba kutoka katika mkwamo huu itachukua muda mrefu saaana si chini ya miaka 5. Waliodhamiria kuivuruga wamedhamiria kweli.
Simba iko sawa, hata kocha kafukuzwa bila sababu za msingi ila mihemko tu. Yaani timu kufungwa gemu moja imekuwa shida, wahuni wanajipigia Man Utd kwa kupokezana ila husiikii kocha kafukuzwa. Kuna mambo machache hayakukaa sawa vizuri kwenye usajili ila viongozi wametumia pesa ya kutosha kwenye usajili. Hapa ilikuwa ni kuongeza wachezaji kwenye baadhi ya nafasi na timu inakamilika.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Simba ipi!?

Maana Simba yenu ilishauzwa kwa Mudi, kwa sasa ni Mali halali ya Mudi...

Hamna mnachoweza sema, labda mkamuombe Radhi mzee Kilomoni na arejeshewe timu yake ndipo mtakuwa na Sauti ya kusema..

Mangungu ajengewe mnara wa kumbukumbu anajituma sana ingawa anapigwa Vita...

B20 ziko wapi!?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022 sitosema, ctozungumza wa kuijadili wala kuikosoa wala kutoa ushauri kwa timu yangu, nitabakia humu humu kuangalia yanayoendelea ndani ya timu yetu

Nimefanya hivyo kwa sababu

1. Simba imevamiwa na viongozi na washabiki mfano wa Mwijaku ambao hawajui lolote lakini ndio wanaopewa thamani.

2. Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo

3. Wajinga wamekuwa wengi sana katika klabu yetu, hivyo hakuna dalili ya timu kufanya vzr.

4. Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.

5. Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi

6. Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.

7. Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu

Baada ya kutafakari kwa kina nimeona nikae pembeni niangalie mchezo unavyoendelea ndani ya klabi yetu, maana kila mwaka ikifika mechi ya 5 au 6 timu inapigishwa shoti.

Kila heri wadau wenzangu, nitachangia mengine lkn katika post zangu sitoiongelea tena Simba hadi mwakani januari.
Nakuunga Mkono,we unaujua UKWELI na HALI HALISI YA KLABU
 
Back
Top Bottom