Mudi alishaunguza bilioni 85 mpaka sasa. Msikilize hapa 😁😁😁Simba ipi!?
Maana Simba yenu ilishauzwa kwa Mudi, kwa sasa ni Mali halali ya Mudi...
Hamna mnachoweza sema, labda mkamuombe Radhi mzee Kilomoni na arejeshewe timu yake ndipo mtakuwa na Sauti ya kusema..
Mangungu ajengewe mnara wa kumbukumbu anajituma sana ingawa anapigwa Vita...
B20 ziko wapi!?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hawajasusia ila wamefukuzwa 😁😁😁Kufungwa mechi moja tu, watu mshaanza kususia timu.
Mudi Tapeli [emoji16][emoji16][emoji16]Mudi alishaunguza bilioni 85 mpaka sasa. Msikilize hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2810016
Upunguze mzuka unacheza wewe?Ndo inabidi na Sisi mashabiki tupunguze mzuka la sivyo tutaelekea kubaya zaidi
Ukiwaambia ukweli Kuna vishabiki uchwara vinakuja kukuuliza kwani wewe unatoa shilingi ngapi?Upunguze mzuka unacheza wewe?
Tunaambiwa wachezaji walihujumu mechi kwa sababu hawalipwi posho.Hili halijakanushwa na uongozi.
Tunaambiwa Kocha alienda kudai posho za wachezaji kabla ya mechi,naye katimuliwa.
Phiri aliwahi kudai haki zake viongozi wakamwambia kocha asiwe anampanga.
Ntibanzokiza amedai posho zake,anaonekana mzee aachwe dirisha dogo.Haya yote hayakanushwi na uongozi.
Kipa mwarabu amesajiliwa kwa bilioni 3,huu ni ufisadi na uhuni wa kutengeneza hesabu za kitapeli ili uonekane una mchango mkubwa kwenye timu.Kifupi hakuna uwazi.Simba inaingiza mabilioni ya pesa,halafu tunaambiwa bila mo timu haiendi..Ihefu inaendaje na haina Mo?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tunamjua.Bado hamjajua tu mwenye hii ID wajukuu zangu sio kila kitu niwaambie
Ni mateso [emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772]Upunguze mzuka unacheza wewe?
Tunaambiwa wachezaji walihujumu mechi kwa sababu hawalipwi posho.Hili halijakanushwa na uongozi.
Tunaambiwa Kocha alienda kudai posho za wachezaji kabla ya mechi,naye katimuliwa.
Phiri aliwahi kudai haki zake viongozi wakamwambia kocha asiwe anampanga.
Ntibanzokiza amedai posho zake,anaonekana mzee aachwe dirisha dogo.Haya yote hayakanushwi na uongozi.
Kipa mwarabu amesajiliwa kwa bilioni 3,huu ni ufisadi na uhuni wa kutengeneza hesabu za kitapeli ili uonekane una mchango mkubwa kwenye timu.Kifupi hakuna uwazi.Simba inaingiza mabilioni ya pesa,halafu tunaambiwa bila mo timu haiendi..Ihefu inaendaje na haina Mo?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tatizo Lenu wanachama wa Simba ni Kama vile mmekatika vichwa, amjui ata mnachokipigania na amjui ata chanzo Cha tatizo Lenu ni Nini, Kutwa nzima mnamtaja mangungu kwani mangungu kwa katiba yenu mliyoipitisha Ana nguvu Gani kwenye klabu? Kwa katiba mliyoipitisha mangungu Hana nguvu yoyote kwenye klabu na Wala Hana maamuzi yoyote yenye nguvu ndani ya klabu kwanini Mumlaumu? Wakati mnaipitisha katiba yenu mliipitia vizuri ama mlikuwa mshapewa ubwabwa na vijisent vya kanjibhai mkapitisha tu na amkujua itakuja kuwacost? Upande wa mwekezaji mwenye hisa 49% ndio ulipewa nguvu kikatiba ya kimaamuzi ambapo yupo try again, Kama mnataka watu wa kujiuzulu inatakiwa muanze na watu wa upande wa mo ndiyo wameshika mpini kuendesha shughuli zote za klabu!Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022 sitosema, ctozungumza wa kuijadili wala kuikosoa wala kutoa ushauri kwa timu yangu, nitabakia humu humu kuangalia yanayoendelea ndani ya timu yetu
Nimefanya hivyo kwa sababu
1. Simba imevamiwa na viongozi na washabiki mfano wa Mwijaku ambao hawajui lolote lakini ndio wanaopewa thamani.
2. Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo
3. Wajinga wamekuwa wengi sana katika klabu yetu, hivyo hakuna dalili ya timu kufanya vzr.
4. Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.
5. Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi
6. Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.
7. Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu
Baada ya kutafakari kwa kina nimeona nikae pembeni niangalie mchezo unavyoendelea ndani ya klabi yetu, maana kila mwaka ikifika mechi ya 5 au 6 timu inapigishwa shoti.
Kila heri wadau wenzangu, nitachangia mengine lkn katika post zangu sitoiongelea tena Simba hadi mwakani januari.