Kuanzia leo sitosema lolote kuhusu Simba hadi 2024

Kuanzia leo sitosema lolote kuhusu Simba hadi 2024

Mpka mashabiki wote muisusie timu ndo tutawaacha.Mmoja amenyosha mikono
 
Simba ipi!?

Maana Simba yenu ilishauzwa kwa Mudi, kwa sasa ni Mali halali ya Mudi...

Hamna mnachoweza sema, labda mkamuombe Radhi mzee Kilomoni na arejeshewe timu yake ndipo mtakuwa na Sauti ya kusema..

Mangungu ajengewe mnara wa kumbukumbu anajituma sana ingawa anapigwa Vita...

B20 ziko wapi!?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Mudi alishaunguza bilioni 85 mpaka sasa. Msikilize hapa 😁😁😁

Kufungwa mechi moja tu, watu mshaanza kususia timu.
Hawajasusia ila wamefukuzwa 😁😁😁

IMG-20231109-WA0026.jpg
 
Ndo inabidi na Sisi mashabiki tupunguze mzuka la sivyo tutaelekea kubaya zaidi
Upunguze mzuka unacheza wewe?
Tunaambiwa wachezaji walihujumu mechi kwa sababu hawalipwi posho.Hili halijakanushwa na uongozi.
Tunaambiwa Kocha alienda kudai posho za wachezaji kabla ya mechi,naye katimuliwa.
Phiri aliwahi kudai haki zake viongozi wakamwambia kocha asiwe anampanga.
Ntibanzokiza amedai posho zake,anaonekana mzee aachwe dirisha dogo.Haya yote hayakanushwi na uongozi.
Kipa mwarabu amesajiliwa kwa bilioni 3,huu ni ufisadi na uhuni wa kutengeneza hesabu za kitapeli ili uonekane una mchango mkubwa kwenye timu.Kifupi hakuna uwazi.Simba inaingiza mabilioni ya pesa,halafu tunaambiwa bila mo timu haiendi..Ihefu inaendaje na haina Mo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana Chama ni mkubwa kuliko kocha wa Simba. Na kocha lazima afate falsafa zake yeye... Juzi mmekalia chupa ya soda kama mashalavu mnasema chama mstaafu.

KIMA NYIE
 
Kweli mmevurugwa mpaka 2023 mnaona bi 2022..

Kuhusu point namba 5,.! Ni kweli Injinia yuko Smart ila ili yote yawezakane ni lazima mbadilishe mfumo wa kuendesha timu ili mpate matokeo chanya!
 
Upunguze mzuka unacheza wewe?
Tunaambiwa wachezaji walihujumu mechi kwa sababu hawalipwi posho.Hili halijakanushwa na uongozi.
Tunaambiwa Kocha alienda kudai posho za wachezaji kabla ya mechi,naye katimuliwa.
Phiri aliwahi kudai haki zake viongozi wakamwambia kocha asiwe anampanga.
Ntibanzokiza amedai posho zake,anaonekana mzee aachwe dirisha dogo.Haya yote hayakanushwi na uongozi.
Kipa mwarabu amesajiliwa kwa bilioni 3,huu ni ufisadi na uhuni wa kutengeneza hesabu za kitapeli ili uonekane una mchango mkubwa kwenye timu.Kifupi hakuna uwazi.Simba inaingiza mabilioni ya pesa,halafu tunaambiwa bila mo timu haiendi..Ihefu inaendaje na haina Mo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ukiwaambia ukweli Kuna vishabiki uchwara vinakuja kukuuliza kwani wewe unatoa shilingi ngapi?
Ukweli mo na viongozi wanahusika na hiki kipigo. Wote wapo Simba kimaslahi ndio maana wanasajili wachezaji wa hovyo wakitutajia Bei za ajabu Ila wakiuza hawataji Bei waliyouza.
 
Upunguze mzuka unacheza wewe?
Tunaambiwa wachezaji walihujumu mechi kwa sababu hawalipwi posho.Hili halijakanushwa na uongozi.
Tunaambiwa Kocha alienda kudai posho za wachezaji kabla ya mechi,naye katimuliwa.
Phiri aliwahi kudai haki zake viongozi wakamwambia kocha asiwe anampanga.
Ntibanzokiza amedai posho zake,anaonekana mzee aachwe dirisha dogo.Haya yote hayakanushwi na uongozi.
Kipa mwarabu amesajiliwa kwa bilioni 3,huu ni ufisadi na uhuni wa kutengeneza hesabu za kitapeli ili uonekane una mchango mkubwa kwenye timu.Kifupi hakuna uwazi.Simba inaingiza mabilioni ya pesa,halafu tunaambiwa bila mo timu haiendi..Ihefu inaendaje na haina Mo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ni mateso [emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772]
 
Mimi 1979magufuli, shabiki wa Simba lia lia niliyeukataa uanachama kwa kuhofia kutolewa kafara siku moja, kwa utashi wangu na bila kushawishiwa nimeamua kuanzia leo ijumaa November 10 2022 sitosema, ctozungumza wa kuijadili wala kuikosoa wala kutoa ushauri kwa timu yangu, nitabakia humu humu kuangalia yanayoendelea ndani ya timu yetu

Nimefanya hivyo kwa sababu

1. Simba imevamiwa na viongozi na washabiki mfano wa Mwijaku ambao hawajui lolote lakini ndio wanaopewa thamani.

2. Mgogoro wa uongozi vs friends of Simba hautoisha hadi Mangungu akubali kukaa pembeni na hana dalili hizo

3. Wajinga wamekuwa wengi sana katika klabu yetu, hivyo hakuna dalili ya timu kufanya vzr.

4. Wasaliti wako wengi na wataendelea kuwepo labda wafe kwa albadiri.

5. Hakuna kitu kinachoniuma kama viongozi kuzidiwa akili na Injinia Hersi

6. Yanga ina wanachama wasiomkubali Hersi lkn wamekubali kuweka silaha chini na wamemkabidhi kijana huyo timu, wanataka matokeo tu na ndio maana mgogoro hawana, sisi huku akina Evans cjui kaburu wamerudi tena.

7. Timu yetu ina watu ambao maisha hayaendi bila Simba, wakilala wakiamka wao ni mnyama, kazi yao ni majungu

Baada ya kutafakari kwa kina nimeona nikae pembeni niangalie mchezo unavyoendelea ndani ya klabi yetu, maana kila mwaka ikifika mechi ya 5 au 6 timu inapigishwa shoti.

Kila heri wadau wenzangu, nitachangia mengine lkn katika post zangu sitoiongelea tena Simba hadi mwakani januari.
Tatizo Lenu wanachama wa Simba ni Kama vile mmekatika vichwa, amjui ata mnachokipigania na amjui ata chanzo Cha tatizo Lenu ni Nini, Kutwa nzima mnamtaja mangungu kwani mangungu kwa katiba yenu mliyoipitisha Ana nguvu Gani kwenye klabu? Kwa katiba mliyoipitisha mangungu Hana nguvu yoyote kwenye klabu na Wala Hana maamuzi yoyote yenye nguvu ndani ya klabu kwanini Mumlaumu? Wakati mnaipitisha katiba yenu mliipitia vizuri ama mlikuwa mshapewa ubwabwa na vijisent vya kanjibhai mkapitisha tu na amkujua itakuja kuwacost? Upande wa mwekezaji mwenye hisa 49% ndio ulipewa nguvu kikatiba ya kimaamuzi ambapo yupo try again, Kama mnataka watu wa kujiuzulu inatakiwa muanze na watu wa upande wa mo ndiyo wameshika mpini kuendesha shughuli zote za klabu!
Mo amejificha Sasa hivi na anajua watu wake kina try again ndio wanafanya mambo yaende mlama ndani ya Simba akiwemo yeye, anafanya ujanja ujanja aonekane yeye ayumo kwenye huu mkwamo!!
Mangungu yeye kikatiba ni Kama mjumbe tu Hana nguvu yoyote pale kwa katiba yenu mliyoipitisha nyie wenyewe Sasa kwanini mumuangushie jumba bovu?
Inaonekana wanachama wengi walipitisha kitu wasichokijua kwa mihemko yao na Sasa madhara yake ni Aya! Ukitanguliza njaa na tumbo kwenye kazi yoyote basi ujue itakucost!
Ikitokea hata mangungu akajiuzulu Leo akaja mtu mwingine bado Simba auwezi kubadilika kwa sababu ya katiba mliyoipitisha inampa nguvu mwekezaji kuliko wenye hisa 51%!!!!
Mwekezaji ndiye anasajili, analipa mishahara, analipa wafanyakazi, anagharamikia kambi na Kila kitu Cha Simba, na ndiye mwenye kuendesha shughuli zote za klabu! Hapo mangungu kazi yake unadhani ni ipi?
Kwanini timu ikifanya vizuri sifa anapewa kanjibhai na sio mangungu? Na timu ikifanya vibaya anatafutwa mangungu?? Timu ikifanya vizuri mhindi wa Bombay anajitokeza kujiweka mbele mbele kwamba yeye ndiye chachu ya mafanikio lakini mambo yakikorogeka umuoni ata kwa TOCHI!!!
Hii kitu inakera sana muache ujinga wenu wanachama wa Simba mistake kuuthibitisha usemi wa Rage kwamba nyie ni mbumbumbu kweli!!!
 
Nadhani Suluhisho ni

1. Kupata mdhamini mpya anayejielewa na sio huyu tapeli kila siku analia anapata hasara lakini haondoki.

2. Kuweka bayani nani ana mamlaka kati ya Mwenyekiti wa Simba na Mwenyekiti wa bodi wa Simba.

3. Kuanzisha academy ya vijana wenye vipajai.

4. Kuwa makini kwenye usajili.
 
Back
Top Bottom