Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

Wanawake wengine huwa wanategesha mimba makusudi kutaka kuwatumia watoto kama kitega uchumi kupitia ruzuku ya malezi na matunzo ya mtoto.

Wewe kama ni Mwanaume omba yasikukute maana yanachosha akili kusikia sababu unakuwa hujapanga yatokee kwa wakati huo.
 
Jamii ipewe elimu wanawake ndio wenye kujua kalenda ya uzazi hivyo wasijiachie kizembe au kwa makusudi na kuzani kila mahusiano ni mpaka mzae.

Mwanamke abebe mimba kwa ridhaa ya pamoja na Mwanaume husika na sio kwa ridhaa yake yeye tu au uzembe wake halafu alete lawama zisizo na tija.
 
Halafu wewe kama ni Mwamini nakushauri urudi kwenye imani.

Imeandikwa: “waheshimu baba yako na mama yako upate uheri “

Na Hilo andiko halina “provision “ kwamba labda Kwa wale wazazi walokukea na kukutunza na kukusomesha la hasha.

Ni kweli inauma sana tena sana lakini nakushauri rudi kwenye imani. Samahe , achilia, anza kumheshimu.

Kuko kumsaidia si ni hiyari yako tu na moyo ?!
Lakini heshima yake mpe.

Pia unaweza kuepuka kuwa naye karibu lakini asijue kuwa umekusudia bali ionekane Pengine sababu uko bize au sababu hukuwahi kuwa namazoea naye tangu unakua.

Ikibidi wasiliana naye kwa namba maalum tu na sio ya kawaida ili ukitaka kumsalimia mara moja moja unampata lakini yeye awe hakupati kirahisi, Hata hivyo hii inategemea na mazingira yenu kama yupo mkoa kwa mkoa ni rahisi kuliko mkiwa kwenye jamii moja.

Ikibidi asijue hata nyumbani kwako.

Wakati mwingine unamsaidia wakati mwingine unampotezea unamwambia ukipata utamkumbuka.

Tafakari.
 
Wengine baba anajua mtoto kafiwa na mama yake alokuwa anamlea na baba bado anakula jiwe wala hamtafuti mtoto kumpa pole!
 
Kwani mkuu kama umekua na una maisha yako, ya nini kumkalia kooni baba yako.??

Kuna kitu kibaya baba yako alikufanyia au ni hilo la kutokutoa huduma?? Kama ni hilo na bado ukaishi ya nini kumkalia kooni mwamba, achana nae tu ishi maisha yako naamini hutapungukiwa kitu mkuu.
Mzazi ni mzazi.
 
Wazazi wanavumilia mengi aisee mm nikikumbuka nilivokuwa msumbufu
Waliosema mzazi hakosei walitumia busara sana hata kama kakuchukiza Bado huwez kumlipa mkojo wake ulokufanya ukapata nguvu ya kuandika aijalishi ni baba wa ainagani mlev mbaya mweusi lakin ndio Mungu aliridhia uje kupitia yeye samehe tu wazazi nao binadamu kwani sisi pia tunamakosayetu japo tunawatoto wanatuona kma wazazi 🙏
 
Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo

" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"

"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa stokuja na nikifa usidiriki kujja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako"

Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la

Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P.Manyonvu kyaibumba.
Ugomvi wa familia kwanini usiumalize kwenu? Humu utaishia kuchambwa tu
 
Tena ni miongoni mwa wahasisi mtafute utamjua member wa nkkwanza hivi nyie mafala nn yeye kutukana ni haki sisi kuwakana ni kosa
Waheshimu baba na mama upate miaka MINGI na HERI duniani..!!!
 
Wewe ni Member since March 30,2012.

Nadhani utakuwa ni mtu wa makamo,kaa chini na wanafamilia mzugumze kifamilia mmalize tofauti zenu kwa amani

Kumkana baba yako mzazi si suluhu ya kujifariji machungu yako
 
Pole kweli inauma sana hamjui tu uliza watu walioteswa kiakili na wababa kama hao wao wanatelekeza watoto wao ila mie nikuambie kitu usiseme hivyoo .

Kuwa naye tu karibu kuna Mungu atalipiza
 
Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo

" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"

"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa stokuja na nikifa usidiriki kujja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako"

Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la

Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P.Manyonvu kyaibumba.
1667028222069.jpg

Baba nae akukaa kimya akamjibu mwanae kiufupi jamani huu ni ugomvi wa family tusiuingilie
 
Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo

" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"

"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa sitokuja na nikifa usidiriki kuja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako".

Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la

Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P. Manyonvu kyaibumba.
Null and void.
Baba yako hata akiwa mlemavu wa akili, ana hati miliki ya maisha yako duniani.
Mkayasawazishe na hilo si ombi.
 
Back
Top Bottom