Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ugomvi wa familia kwanini usiumalize kwenu? Humu utaishia kuchambwa tuNina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo
" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"
"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa stokuja na nikifa usidiriki kujja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako"
Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la
Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P.Manyonvu kyaibumba.
Waheshimu baba na mama upate miaka MINGI na HERI duniani..!!!Tena ni miongoni mwa wahasisi mtafute utamjua member wa nkkwanza hivi nyie mafala nn yeye kutukana ni haki sisi kuwakana ni kosa
Huyu mmojawapo katika wale vichaa 6 kati ya Watanzania kumi.Balaa lingine hili..
Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo
" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"
"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa stokuja na nikifa usidiriki kujja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako"
Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la
Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P.Manyonvu kyaibumba.
Au unateseka huku baba yako ana cash sana anaweza kukuinuaWengine baba anajua mtoto kafiwa na mama yake alokuwa anamlea na baba bado anakula jiwe wala hamtafuti mtoto kumpa pole!
UNYAMA SANA, KAMA MBWAI MBWAI TUView attachment 2403402
Baba nae akukaa kimya akamjibu mwanae kiufupi jamani huu ni ugomvi wa family tusiuingilie
Null and void.Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo
" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"
"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa sitokuja na nikifa usidiriki kuja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako".
Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la
Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P. Manyonvu kyaibumba.