THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Nimewaza sana mjue hizi Team za Kariakoo hua zinapata favor sana katika ratiba ya Ligi,
Kuna mda unajiuliza hizi ni Team za Taasisi inayoongoza Mpira Nini?
Hizi Team kipindi zinaelekea Derby hua zinapewa almost week nzima ya kujiandaa Yani hawachezi hata kombe la FA angalia Kuna Team zimecheza kombe la FA katikat na zimecheza na Ligi,
Ila Hawa Firstborn walikua wanajiandaa tu na Match Moja, ambayo nayo imekuja kuahirishwa kisa mazoezi ya dakika 30.
Unakaa unajiuliza kumbe Yale mazoezi na maandalizi ya siku 5+ yalikua hayana umhimu wowote Maandalizi na mazoezi ya Mhimu ni haya ya dakika 30?
So ombi langu Kwa Bodi na TFF kuanzia Msimu ujao Hawa wawe Wana game katikati ya week hata kama wanaenda kucheza Mashindano ya kimataifa hakuna kusema wana wakilisha Taifa,
Huwez kujiandaa 5 days then ukose dakika 30 useme huchez huko ni kudeka sana nyie ratiba next season ipigen msumeno watoe milio.
Ni ushauri kutokana na kilichotokea.