Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

majumba 6

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
250
Reaction score
703
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30.

Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.

PIA SOMA
- Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

- Enzi za Hayati Magufuli alikuwa analipa mshahara mpaka tarehe 19 awamu hii vipi?

UPDATE:
TAARIFA HII IMEHAKIKIWA NA JAMIICHECK NA KUBAINI KUWA HAINA UKWELI. SOMA:

- SI KWELI - Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30
 
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.
Kwanini wasitoe 30!????
 
pumbavu tucta
 
Suala la tarehe ni mindset tu,kwani ukiamua kumlipa mtu mshahara tarehe 10 ya kila mwezi utakua umemlipa kwa kufanya kazi siku ngapi? Kwanini mnawaonea sana watumishi wa umma?
Ni utapeli tu ,kwani watumishi wa umma usiwambie tangu tarehe moja ,unawambia mda ambao walitakiwa kupata chao, kama kweli basi hivi vyama hovyo kabisa, kwamba wanaona liko sawa
 
Back
Top Bottom