Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

We endelea kuisifia CCM na hauna hata check no. Sisi tunalipwa na hiyo serikali yako ya CCM ,lakini tunaipiga virungu bila kuchoka sembuse wewe jobless unaye tegemea buku saba?. Subiri kazi za sensa na kuandikisha wapiga kura.
Mjinga sana huyo, asubiri hela za sensa akalewee na kuhongea mademu akapoteze na kishikwambi
 
Kwa maana huyo basi wafanyakazi wa nchi hii kwa mwezi huu watakua wamefanya kazi kwa zaidi ya siku 30??

Na ujinga huu unapatikana Tanzania pekee, nchi ambayo Bei ya bidhaa inaweza kupanda hata Mara mbili ya Bei na usisikie wananchi wakilalamika. Ila kwa nchi za wenzetu leo tu watu wengekua washaingia Barbarani, tukiunganisha matukio ya wafanyabiashara kariakoo na huu ujinga wa TUCTA, kingenuka leo
 
Kwanini isiwe Tarehe 6 ya kila mwezi mpya
 
Huyu mpuuzi anajiona Nani? Yeye ndo muajiri?
 

Karibuni kwenye uzi
 
Serikali itoe tamko rasmi sio kustukiza tu waziri wa fedha ajitokeza TUCTA ndio watu gani mpaka waingilie shughuli za Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…