Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

Inawezekana serikali inaendelea na maokoto.
 
Tayari washaniingizia Milioni 2 yangu...ngoja nikale mbuzi choma chap
 
Hakuna sms ya namna hiyo, anayway hongera kwa kibunda, maana ulikuwa unalia sana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…