Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

U
Taarifa kutoka TUCTA

Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30.

Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema hayo leo wakati akipongeza kuongezeka kwa asilimia ya Kikokotoo kutoka asilimia 33 mpaka 40.

PIA SOMA
- Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

- Enzi za Hayati Magufuli alikuwa analipa mshahara mpaka tarehe 19 awamu hii vipi?

UPDATE:
TAARIFA HII IMEHAKIKIWA NA JAMIICHECK NA KUBAINI KUWA HAINA UKWELI. SOMA:

- SI KWELI - Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30
Upuuzi ntupu
 
Hiyo mmana yake ndo mtaanza kukopws hadi katikati ya meenzi ujnaofuata

Unafikiri taafa ya Tanzania leaks ni uongo??

Hazina imekauka hakuna pesa

Kukopa deni limeshazidi kiwango
Ngoja dk. mwigulu ale na soln
 
Back
Top Bottom