Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kunguni hivi wakoje mkuu? hauna picha kidogo
Wako huku kwetu uswahilini kwenu wakishua hawapo..kunguni hivi wakoje mkuu? hauna picha kidogo
Tumekwambia usije wewe unataka kujaJAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK
Soon nakuja huko
Saiv ni mwendo wa Pestana, Waswanu, Rainbow, Royal, Malaika, Wazee Pub, Sinza, Sky Longue, T-Square, Pub 150, ....JAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO, ROSE GARDEN, CHAKO NI CHAKO, DODONA CARNIVAL, CAPE TOWN, FORU WAY
N.K baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK
Soon nakuja huko
Soon nakuja huko nshachoka foleni za DarSaiv ni mwendo wa Pestana, Waswanu, Rainbow, Royal, Malaika, Wazee Pub, Sinza, Sky Longue, T-Square, Pub 150, ....
Hata sio trending tena, kuna vitu vipyaaa.JAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO, ROSE GARDEN, CHAKO NI CHAKO, DODONA CARNIVAL, CAPE TOWN, FORU WAY
N.K baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK
Soon nakuja huko
Kweli bhana si unajua sisi tulikaa huko zamaniHata sio trending tena, kuna vitu vipyaaa.
Dodoma foleni ndo inaanza aanza ππ, halafu wao roundabout huwa ni kuwahiana kupita,,yaani kosa kosa za ajali ni nyingi,,halafu magari yanakimbia mjini utadhani yako safari rally..Roho mkononi..Soon nakuja huko nshachoka foleni za Dar
Nimeishi hapo Uhindini kwa miaka kama6 hiviDodoma foleni ndo inaanza aanza ππ, halafu wao roundabout huwa ni kuwahiana kupita,,yaani kosa kosa za ajali ni nyingi,,halafu magari yanakimbia mjini utadhani yako safari rally..Roho mkononi..
Malaika Pub ndo mpango mzima.JAKANA, RAINBOW
TOROKA UJE, KWA MATEI, MPEPO, ROSE GARDEN, CHAKO NI CHAKO, DODONA CARNIVAL, CAPE TOWN, FORU WAY
N.K baadhi ya machimbo ya zamani enzi za JK
Soon nakuja huko
Mambo mapya haya sikuyaachaga, na nlipoondoka sikurudi tena Dom. nakuja kwa kasi ya 5GMalaika Pub ndo mpango mzima.
Pestana baba laoSaiv ni mwendo wa Pestana, Waswanu, Rainbow, Royal, Malaika, Wazee Pub, Sinza, Sky Longue, T-Square, Pub 150, ....
Utakuwa mji mzuri ,miaka 10 ijayo,mwanza wachunge sana...Nimeishi hapo Uhindini kwa miaka kama6 hivi
Narudi maana mwajiri anapanga bajeti tugeuke huko
Nina kiwanja changu Nkuhungu Maeneo ya nyuma ya shule ya Sek Lukundo ngoja nije nikiangalie kabla sijapigwaUtakuwa mji mzuri ,miaka 10 ijayo,mwanza wachunge sana...