Kuanzia Sasa 3 Asubuhi ya Leo kila mwana Simba SC usikae mbali na 'JamiiForums' kwani nakuja na 'Exclusives' Kubwa Saba za HATARI sana

................tunasubiri ubuyu watani wenzetu mwaka huu mtapata tabu sana divide and rule itawagawanya simba vipande vipande.

mmeshaanza kumuingiza Samia l
kwenye matatizo yenu.
 
Sasa unaenda Kuvunja mkataba wa Habib Kyombo kutoka Singida aje Umbumbumbuni alafu unataka ubingwa!!!
Yaani jeuri iyo yoote kisa mnaringia uchawi kwakua CAF wamewatambua kama klabu ya kichawi zaidi Barani Afrika!!!
 
Mh ww jamaa hamna kitu, mara unakuja na hoja za kujifanya ww ni mnyarwanda, mara ujicanye mtu wa TISS, mara ujifanye mtu wa TFF

Mwisho wa yote ninuozo mtupu.
Umemaliza au bado? Mimi ndiyo GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'
 
Huyu mtumiaji, ni wa ovyo sanaa kuna uji ali post akijifanya ana wa underrate JWTZ akijifanya anatoa onyo eti watapihika endapo wakienda DRC tena kukabiliana na M23, mara akaja na uzi kiwasifia Tiss ndan ya jeshi kwa uteuzi wa cdf, mara leo kaibukia na soka , 😂😂😂 jamaa ana puyanga puyanga
Pole sana kwa Kuteswa na 'Natural Charm' yangu. Mimi ndiyo GENTAMYCINE na hakuna Mwingine.
 
Sasa unaenda Kuvunja mkataba wa Habib Kyombo kutoka Singida aje Umbumbumbuni alafu unataka ubingwa!!!
Yaani jeuri iyo yoote kisa mnaringia uchawi kwakua CAF wamewatambua kama klabu ya kichawi zaidi Barani Afrika!!!
Hawa utawaachaje kwa uchawi bwana uto?
 
Attachments

  • FB_IMG_16558201034602352.jpg
    FB_IMG_16558201034602352.jpg
    39.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220702-233857_Twitter.jpg
    Screenshot_20220702-233857_Twitter.jpg
    137.9 KB · Views: 5
Sasa unaenda Kuvunja mkataba wa Habib Kyombo kutoka Singida aje Umbumbumbuni alafu unataka ubingwa!!!
Yaani jeuri iyo yoote kisa mnaringia uchawi kwakua CAF wamewatambua kama klabu ya kichawi zaidi Barani Afrika!!!
Wewe umemsajili nani mchezaji wa maana hapo jangwani?
 
Ya Kwanza......

Inawahusu CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said.

Ya Pili.......

Inawahusu Mwekezaji Mo Dewji na CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.

Ya Tatu......

Inahusu sababu ya hivi Majuzi Uongozi wa Simba SC kusitisha kutoa Taarifa ambayo ilitakiwa Kuwafikia wana Simba SC wote.

Ya Nne.......

Itahusu Usaliti mkubwa alioufanya Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ili Kuwafaidisha Yanga SC na Ahadi ya Ubunge aliyopewa na Mstaafu Mmoja mwenye Uyanga mwingi na Ushawishi mkubwa katika Serikali hii ya sasa ( ya Mama )

Ya Tano......

Itahusu Nia ya Tajiri Mkubwa ( ambaye Mo Dewji ) hata akusanye Fedha zake zote bado hamfikii Mzee ( Tajiri ) Bakhressa na Simba SC.

Ya Sita......

Itamhusu Haji Manara na Usahihi wake wa 100% juu ya Shutuma zake dhidi ya CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez na kwanini alipandwa na Hasira na kuamua Kuelekea Yanga SC.

Ya Saba......

Itahusu kwanini Yanga SC kupitia Haji Manara, Injia Hersi Said na Tarimba Abbas wanajigamba ( wanajimwambafai ) kuwa Yanga SC itabeba Ubingwa mara Tano au mara Nane Mfululuzo ( mpaka mwaka 2030 ) ambako Rais Samia Suluhu Hassan atamaliza Urais wake.

GENTAMYCINE sibahatishi na nimepata Taarifa zote kamili juu ya haya Mambo Saba ( 7 ) niliyoyaainisha hapa juu hivyo leo nataka niisimamishe JamiiForums ( hasa Wanamichezo ) na Taifa pia lisimame kwa Ufafanuzi kamili wa niliyoyasema hapo.

Tukutane kuanzia Saa 3 baadae.
Mkuu Genta saa 4 na dakika zake twasubiri .
 
Samia hadi 2030 vipi wewe ni Mungu?.
Naheshimu andiko lako ila tu nikwambie kuwa hakuna hali ya kudumu maishani.
 
Back
Top Bottom