Hahahaha kuwahi kulala lazma kumbuka lakiniSaa sita sita huko nitakuja pm...
Mimi hata nikichelewa kulala bado nakua sawa... Sinaga uvivu...Hahahaha kuwahi kulala lazma kumbuka lakini
Huo muda mie niko mbali kwenye ndotoMimi hata nikichelewa kulala bado nakua sawa... Sinaga uvivu...
Huonagi simu zangu za saa kumi na moja...
Unaamkaga kivivu mwenyewe... ππHuo muda mie niko mbali kwenye ndoto
Naota tunacheka kuchikuchi hotaheeeππ
Kesho nitakuamsha mimiUnaamkaga kivivu mwenyewe... ππ
Na wewe si uniulize basii..!!!ππ
Yna2 naendelea kusoma koments![emoji23][emoji12][emoji8]
Wewe si Kaka yangu jamaniNa wewe si uniulize basii..!!!
We..!!! Tangu lini!? Mbona mi sijui..!!Wewe si Kaka yangu jamani
πππWe..!!! Tangu lini!? Mbona mi sijui..!!
Ahahahaaaa.... Haya banaπππ
Kaka wa nyumbani kabisa naona unajisahaulisha asubuhi yote hii π€£π€£π€£
Kabisa mkuu Yasikuumize kichwa!!ππ!Mambo yao waachieni wenyewe..π