PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Kwa mujibu wa watu wa jamhuri ya twitter kuna tetesi hizi za kufungiwa tena ndani hakuna MTU kutoka na mitandao yote ya simu kufungwa.
Kwa wale wazazi kama Mimi ambao watoto wetu wapo mashuleni tujiandae Tu kisaikolojia maana hatujui hawa watoto warudi vipi huku DAR
Hata wale ambao wanataka kwenda mikoani ni Bora ujipange kabla ya tar 5 December vinginevyo utaishia kusaga meno, kila MTU ajiandae Kwa mahitaji yake muhimu.
Hawa wakuu wa shule tunawaomba waruhusu watoto wetu warudi majumbani kabla ya tar 5