Kuanzia wiki ijayo mitandao itaanza kusumbua rasmi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kwa yanayoendelea nchini na wananchi wanavyozidi kupata hamasa zaidi ya kuandamana.

Nina ona kuna dalili nyingi za mitandao kufungwa .

Uzi tayari.
 
Kama ilivyo ngumu kuyafunga matumbo ya wanawake nchi nzima wasizae, ndivyo ilivyo ngumu kuzuia watu wasitumie mitandao, acha waneng'eneke tu wakichoka watajifia kwa amani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…