Kuanzisha baby class/nursery school

Kuanzisha baby class/nursery school

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Wadau JF, Naomba kujua taratibu za kuanzisha BABY CLASS/NURSERY SCHOOL(Lengo ni kuwafundisha watoto wadogo kuandika,kuimba,kusoma,kucheza na kukuza ufahamu wao,halikadhalika kuwalea watoto wadogo wasio na ufahamu wa kufanya mambo mengine kama kusoma nk. Nitashukuru kupata msaada wanu.Unaweza pia nitumia malelezo kupitia emilias03@gmail.com
 
Back
Top Bottom