Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Pole tupo jahazi moja mkuu, yaani hapa nina vipesa vyangu kila kukicha ninadonoa donoa hata nikiangalia sioni cha maana nilichofanyia
 
mkuu binafsi, nimekupata vema sana. [emoji1787]
 
Kwa Sasa napokea Hilo tusi mpaka hapo utakapoipata wewe na ukapata Cha kuzifanyia. Ukiwa huna hela unakuwa na.mipango kabambe ngoja uipate sasa.
Mkuu hiyo hela itaisha usipokuwa mwangalifu. Ili kujizuia kuitumia nenda ukaidumbukize kwenye fixed account kwa miezi hapo 6 wakati unajitafuta na kupata cha kufanya. Vinginevyo Kata hela kidogo uingie shamba upige Kilimo sehemu ambako kuna mashamba!
 
Pole tupo jahazi moja mkuu, yaani hapa nina vipesa vyangu kila kukicha ninadonoa donoa hata nikiangalia sioni cha maana nilichofanyia
Bro biashara isikie tunaongea hapa tu lakini kuimplement ni kitunkingine, unataka ufungue duka unaangalia mwenye duka jirani anashinda anapiga miahayo na anatafuta mikopo
 
Mkuu hiyo hela itaisha usipokuwa mwangalifu. Ili kujizuia kuitumia nenda ukaidumbukize kwenye fixed account kwa miezi hapo 6 wakati unajitafuta na kupata cha kufanya. Vinginevyo Kata hela kidogo uingie shamba upige Kilimo sehemu ambako kuna mashamba!
Ni kweli aisee, mwezi mmoja nimepoteza nyingi mno na sioni nimefanya nini
 
Nunua ardhi pima halafu uza kama viwanja Mfano hapo Dodoma,mji unatanuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…