Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anajitafuta huku anaila taratibu from 40million to 33million 😂😂😂,,,,anarudi nyuma taratibu na hajui kama anarudi nyuma mpaka atakapojikuta yupo hapo tayariBizinesi izi noti fo everi wani.....😎
Ebu endelea kujitafuta mkuu....🙃
Nina kiwanja sehemu huko kigamboni nimetafuta wateja mwaka wa tano huu sipati yaani Ardhi inahitaji uwe na hela usiyoitegemea ili uzamishe uko isahau utauza siku pakichangamka. Lakini hizi za kwetu tunazotegemea tuzalishe ili tupanuke haraka maisha yaendelee si mchezoNunua ardhi pima halafu uza kama viwanja Mfano hapo Dodoma,mji unatanuka sana.
Ndo maana,na usipotuliza akili soon utakuja na uzi mwingineHujakosea kabisa , cash money niliyotafuta Kwa nguvu zangu ambazo si deni ndo mara ya kwanza
Kabisa nakuelewa mkuu. Kabla hujapata pesa confidence inakuwa juu na mipango kibao. Lakini ukija kuipata sasa, Woga unaingia na yale uliyokuwa ukiwaza awali unaona hayana maana . Unaanza kuwaza upya lakini taratibu ile hela unazidi kuimega kwa mambo ambayo hata hukuyatarajiaBro biashara isikie tunaongea hapa tu lakini kuimplement ni kitunkingine, unataka ufungue duka unaangalia mwenye duka jirani anashinda anapiga miahayo na anatafuta mikopo
Kopesha kwa wiki riba 30% mteja aache kitu bondi chenye thamani mara 2-3 ya mkopo.Boss hii unafanyaje?
Noted. Vipi kuna masuala ya kuandikiana mkuu?Kopesha kwa wiki riba 30% mteja aache kitu bondi chenye thamani mara 2-3 ya mkopo.
over
Lazima mkuu maana kuna watu ni wajanja kuliko ujanja wenyewe.Noted. Vipi kuna masuala ya kuandikiana mkuu?
KIchwa chako ndicho kigumu. Uwekezaji hauhutaji mashauriano mengi. Unapaswa uamue na utekeleze hauwezi kuanzisja biashara leo na kupata ubilionea leo. Ni mchakato. Finally nipe hata 5M kwa hzo afu mwakan muda kama huu nakulipa zote hela zako na faida ya 1M jumla iwe 6MNi muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Hii mkuu umesema kweli! Mdogo wangu alikuwa na duka la simu sehemu moja nzuri kabisa huko Dar. Akamweka mtoto wa sister ndio kwanza ametoka chuo, kwamba awe anasimamia maana yeye alihamishwa kikazi. Alipokuwapo faida alikuwa hakosi laki 1 kwa siku. Sasa alivyoondoka tu dogo akazuzuka maana walikubaliana kwamba awe anamtumia laki 5 kila wiki mpaka thamani ya mtaji itakapokamilika ili duka liwe la kwake huyo mpwa! Kwani alifika wapi? Visababu vikawa vingi mara nimeibiwa hela Kariakoo nilifuata mzigo mara wezi wamevunja duka! Shenzi kabisa! Mwisho wa siku dogo akauza vifaa vyote na yeye akarudishwa kijijini na degree yake! Hawajielewi!Shida JF Ina vijana wametoka shule wanafikiri wao wakipata 5m wanatajirika kumbe ukiwakabidhi ukarudi mnaanza kulaumiana.
Umeniogopesha mno uliposema umekuta una 33m! Itaisha ulifanya mchezo! Weka fixed haraka wakati unachanga mawazo!Ni kweli aisee, mwezi mmoja nimepoteza nyingi mno na sioni nimefanya nini
Kuwa na mtaji na kutajirika ni vitu viwili tofauti33ml get rich quick!!
Anyway mkuu unaplan za walau kutengeneza faida ya Tzs ngapi kwa kila mwezi!?
Kiwanja je?Jenga hata nyumba ya mil 30 pangisha hata kikiwa chumba seble chumba laki kwa mwezi weka choo na jiko ndani halafu ndio piga hesabu laki gawanya kwa 40mil
Ni kigumu ndiyo ila kimepata 40m Cha kwako kiraisi kinataka kipewe 5M na kichwa kigumu. Mjini pagumu sana mkuuKIchwa chako ndicho kigumu. Uwekezaji hauhutaji mashauriano mengi. Unapaswa uamue na utekeleze hauwezi kuanzisja biashara leo na kupata ubilionea leo. Ni mchakato. Finally nipe hata 5M kwa hzo afu mwakan muda kama huu nakulipa zote hela zako na faida ya 1M jumla iwe 6M
Ni marufuku kufanya biashara na ndugu, ni kutafutiana tu lawama bure mkuuHii mkuu umesema kweli! Mdogo wangu alikuwa na duka la simu sehemu moja nzuri kabisa huko Dar. Akamweka mtoto wa sister ndio kwanza ametoka chuo, kwamba awe anasimamia maana yeye alihamishwa kikazi. Asipokuwapo faida alikuwa hakosi laki 1 kwa siku. Sasa alivyoondoka tu dogo akazuzuka maana tulikubaliana kwamba awe anamtumia laki 5 kila wiki mpaka thamani ya mtaji itakapokamilika ili duka liwe la kwake huyo mpwa! Kwani alifika wapi? Visababu vikawa vingi mara nimeambiwa hela Kariakoo nilifuata mzigo mara wezi wamevuna duka! Shenzi kabisa! Mwisho wa siku dogo akauza vifaa vyote na yeye akarudishwa kijijini na degree yake! Hawajielewi!
Umeongea vyema mkuuKuwa na mtaji na kutajirika ni vitu viwili tofauti
Kuna mambo mengi kufikia utajiri maana kila kitu unaweza kuwa nacho ila wateja ndio waamuzi wa mwisho
Unapatikana wapi Boss?Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.