political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
- Thread starter
- #101
Wakati nasubiri ntakuwa nakula Nini na familia yangu?Wewe sio mfanyabiashara...nenda kanunue mashamba au viwanja vya 5m usubiri wakati ukifika uuze....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati nasubiri ntakuwa nakula Nini na familia yangu?Wewe sio mfanyabiashara...nenda kanunue mashamba au viwanja vya 5m usubiri wakati ukifika uuze....
Pesa umeshaipata sasa kwann usijaribu kuanzisha firm yako maana uzoefu tayari unaoMkuu shughuri zangu ilikuwa kunsultancy nikiwa na ajira sasa hivi sina ajira yoyote na nimepata hiyo hela.
Aje majimoto ,kataviMkuu hiyo hela itaisha usipokuwa mwangalifu. Ili kujizuia kuitumia nenda ukaidumbukize kwenye fixed account kwa miezi hapo 6 wakati unajitafuta na kupata cha kufanya. Vinginevyo Kata hela kidogo uingie shamba upige Kilimo sehemu ambako kuna mashamba!
Sasa usiaanzishe biashara kwa hela yote na angalia biashara ambayo haiozi mali zale na sio lazima iwe katikati ya mji kikubwa usome hitaji la watu huska. Soko. Kwa hela hiyo kufungua hardware ya kawaida 20M kama unaanza game lijue soko lako jwa biashara unayotaka kufanya. Na punguza reasoning kwenye biashara. Jilipue hakuna atakwambia napata faida kiasi fulani sawa mkuu. Ila usiweke mtaji wote utajuta ukifeliMkuu shughuri zangu ilikuwa kunsultancy nikiwa na ajira sasa hivi sina ajira yoyote na nimepata hiyo hela.
Mkuu hizo fursa ni zipi walau moja mbili tatu.Nikifikisha miaka 50's inshallah ntaandika kitabu Cha hustle zangu zote ntakiweka hapa Kwa ajili ya vijana......
Nae andika hapa muda huu Bado sio tajiri nipo uchumi wa kati wa juu [emoji4][emoji851] just a joke....
Sorry to say [emoji17][emoji17] Kuna wasomi wakinyanganywa vyeti vyao au kufukuzwa kazi waingie mtaani kupambana hawatoboi n'go.......
Tanzania Kuna fursa nyingi sana na kutoboa kuko nje nje sanaa na ndio maana wahindi wengi hata wachina wengi hukimbilia hapa bongo tena na begi la nguo pekee na baada ya miaka kadhaa wanakua matajiri wakubwa ie. Mifano ni Mingi sanaa.......
Huwa naangalia interview za watu mbali mbali ULIMWENGUNI ngoja ni rud hapa nyumbani mfano FRED VUNJABEI huwaga sio mchoyo wa hustler zake na maarifa na aki yule jamaa angekua na akili za wabongo wengi mpaka muda huu angekua serikalini asinge weza kuacha Ile kazi yake na ku take risk.....
Nacho mshukuru Mungu nime develop jicho la kuziona fursa na kuweza ku take over Tatizo LETU kubwa sisi wa Tanzania ni kutokua na exposure ya biashara Kwa tulio wengi....
Na pia walio fanikiwa wengi kwenye biashara hujitahid kuficha sana information zao Ili wengine wasiweze kutusua kama wao pengine hutoa hata taarifa za Uongo [emoji23][emoji1787]
Fursa zipo nyingi sana hapa nyumbani TANZANIA [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241] utajiri wa kuokota true ni sisi tu na akili zetu ila kutoboa ni nje nje ishu ni connection kuliona tobo la kutokea...........
Wasalaam
Vibali vyake vopoje hasa ukipaki TBS na TRA unawakwepaje?Huo mtaji mbona ni mkubwa sana mkuu,, nikushauri kitu,, nunua mashine ya kusaga na kukoboa nafaka tumia madalali kupata mahindi na mpunga kutoka mashambani baada ya kukoboa na kusaga pakia kwenye viroba vya kuanzia kilo 5,10, 25 na 50, kisha sambaza kwenye maduka na masoko au masoko mtaji wako unatosha sana,, huku nina uhakika huwezi kuzama kwa sababu chakula ni hitaji muhimu la kila siku,,
Nop, it shouldn't be a calculated risk mkuu, but a very careful calculated risk😊😊Nop, it is not just a risk but should be a calculated risk mkuu
Unajua milioni arobain kuitafuta ambayo Haina deni lolote si mchezo, nirudi tena kuendesha bajaji na vijana wa bajaji na matusi Yao hapana hata kama hatutakuwi kubagua kazi Mimi hiyo naibaguaKanunue bajaj kula vichwa mwenyewe
Asante mkuu Kwa ushauri wakoSasa usiaanzishe biashara kwa hela yote na angalia biashara ambayo haiozi mali zale na sio lazima iwe katikati ya mji kikubwa usome hitaji la watu huska. Soko. Kwa hela hiyo kufungua hardware ya kawaida 20M kama unaanza game lijue soko lako jwa biashara unayotaka kufanya. Na punguza reasoning kwenye biashara. Jilipue hakuna atakwambia napata faida kiasi fulani sawa mkuu. Ila usiweke mtaji wote utajuta ukifeli
Mkuu nimeshatafuta watu wengine ni kutoka humu JF wakanipeleka kufanya biashara, nadhani week kadhaa nyuma nilileta MREJESHO namna nilivyofata mwana JF mkoani tukafanya biashara fulani ,niliweka 2.9 nilichoambulia ni 500K soma Uzi wangu wa MREJESHO nilioandika hivi karibuni.There's a lot of things to do
Cha muhimu tafuta information most of peoples we have been went through hardship situation kwa kukosa Taarifa sahihi wapi tuwekeze penye uhitaji that way mtoa Mada now anaona ugumu lakini Mkuu tafuta mtu sahihi umpe hata 100k akupe chimbo jipya I know kuimiliki pesa ili iongezeke ipande kwa Mtu ambaye Hana Taarifa Sahihi ningumu tafta Taarifa huo mtaji ni mkubwa Sana endapo ukipata the right information.
MkuuMkuu nimeshatafuta watu wengine ni kutoka humu JF wakanipeleka kufanya biashara, nadhani week kadhaa nyuma nilileta MREJESHO namna nilivyofata mwana JF mkoani tukafanya biashara fulani ,niliweka 2.9 nilichoambulia ni 500K soma Uzi wangu wa MREJESHO nilioandika hivi karibuni.
Pili nikasema ngoja nisikilize na upande wa ndg zangu, nikamsililiza mmoja anaishi sumbawanga yeye anasemaga siku zote mtaji ndo shida lakini vijijini Kuna mahindi,uwele,ufuta na na mazao mengine, nikatumbukiza milioni kadhaa akazama vijijini kununua mazao, mwaka wa Jana na mwaka huu miaka yote nikijumulisha na kutoa naona bado hata faida haijaanza kutoka, mara msimu tumekosa huu si msimu mzuri, mara mazao yashuke bei,mara tutunze stoo muda mrefu yanahitaji dawa pale solo kuu la sumbawanga n.k nk
Kwa ufupi wanadhani sijajaribu kufanya vitu nawaonea huruma Mimi ni fighter vibaya mno, ninyi pateni hela zenu na mzitumbukize kwenye biashara mtaniambia.
Wewe umefanikiwa katika lipi?Nikifikisha miaka 50's inshallah ntaandika kitabu Cha hustle zangu zote ntakiweka hapa Kwa ajili ya vijana......