monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Uliichoma kwenye biashara gani mkuuAcha ujinga wa biashara, mimi nimetoka kuchoma 17M ndani miezi 3. Bora kama una hela weka Utt amis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliichoma kwenye biashara gani mkuuAcha ujinga wa biashara, mimi nimetoka kuchoma 17M ndani miezi 3. Bora kama una hela weka Utt amis
Huko mwamba nakuja mimi! Mwache asinzie kwanza! Nataka nielekee Tanganyika nikawekeze kwenye Kilimo!Aje majimoto ,katavi
Atakavokutana na malori kutoka kenya , Burundi na Rwanda yanasomba mpunga na mahindi ,Akili zitacheza
Mkuu biashara ya kutegemea ndugu utapigwa tu! Kama uko Dar unaweza tafuta centre nzuri ambako ndiko wanajengajenga sasa hivi weka vifaa vya ujenzi mfano cement, rangi, vifaa vya umeme n.kMkuu nimeshatafuta watu wengine ni kutoka humu JF wakanipeleka kufanya biashara, nadhani week kadhaa nyuma nilileta MREJESHO namna nilivyofata mwana JF mkoani tukafanya biashara fulani ,niliweka 2.9 nilichoambulia ni 500K soma Uzi wangu wa MREJESHO nilioandika hivi karibuni.
Pili nikasema ngoja nisikilize na upande wa ndg zangu, nikamsililiza mmoja anaishi sumbawanga yeye anasemaga siku zote mtaji ndo shida lakini vijijini Kuna mahindi,uwele,ufuta na na mazao mengine, nikatumbukiza milioni kadhaa akazama vijijini kununua mazao, mwaka wa Jana na mwaka huu miaka yote nikijumulisha na kutoa naona bado hata faida haijaanza kutoka, mara msimu tumekosa huu si msimu mzuri, mara mazao yashuke bei,mara tutunze stoo muda mrefu yanahitaji dawa pale solo kuu la sumbawanga n.k nk
Kwa ufupi wanadhani sijajaribu kufanya vitu nawaonea huruma Mimi ni fighter vibaya mno, ninyi pateni hela zenu na mzitumbukize kwenye biashara mtaniambia.
mkuu Umepoteza kama ngap kwa mwezi mmojaNi kweli aisee, mwezi mmoja nimepoteza nyingi mno na sioni nimefanya nini
Jenga Nyumba kwenye maji mkubwa , midogo au ya Kati kabla haijaisha. Hiyo pesaNi muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Usifanye biashara zinazo involve TRA na maswala ya frame kama haujawahi kufanya biashara before, hautoamini macho yako. Biashara zina siri nyingi ambazo utazijua as days goes by.Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Mkuu Mimi nipo tayari Kwa chochote mradi kikuze pesa yanguMkuu
Ukiachana na vyote ulivovifanya na kushauriwa, jee wewe ulikuwa una mawazo yapi?
Tuanzie hapo
Nyumba tena? Kiwanja nanunua bei gani mkuu na nyumba najenga bei gani?Jenga Nyumba kwenye maji mkubwa , midogo au ya Kati kabla haijaisha. Hiyo pesa
Inategemea aina ya biashara unayopenda kufanya , kwa upande wangu napenda biashara yenye nature ya kukodisha mambo ya biashara kununua na kuuza ndio nataka kuanza sasa hivi . Kama upo dar unaweza nunua alphard around 20M utakuwa unakodisha , ila hakikisha unakata comprehensive insurance ili likitokea lolote unaweza kurecover hela , halafu hiyo hela ndogo ndogo utakayokuwa unapata sasa ndio anzisha biashara nyingine ndogo. Hapo utakuwa unaingiza hela mdogo mdogo ukijipata uza gari kafanye biashara utakayoona inafaa sasaMkuu nimeshatafuta watu wengine ni kutoka humu JF wakanipeleka kufanya biashara, nadhani week kadhaa nyuma nilileta MREJESHO namna nilivyofata mwana JF mkoani tukafanya biashara fulani ,niliweka 2.9 nilichoambulia ni 500K soma Uzi wangu wa MREJESHO nilioandika hivi karibuni.
Pili nikasema ngoja nisikilize na upande wa ndg zangu, nikamsililiza mmoja anaishi sumbawanga yeye anasemaga siku zote mtaji ndo shida lakini vijijini Kuna mahindi,uwele,ufuta na na mazao mengine, nikatumbukiza milioni kadhaa akazama vijijini kununua mazao, mwaka wa Jana na mwaka huu miaka yote nikijumulisha na kutoa naona bado hata faida haijaanza kutoka, mara msimu tumekosa huu si msimu mzuri, mara mazao yashuke bei,mara tutunze stoo muda mrefu yanahitaji dawa pale solo kuu la sumbawanga n.k nk
Kwa ufupi wanadhani sijajaribu kufanya vitu nawaonea huruma Mimi ni fighter vibaya mno, ninyi pateni hela zenu na mzitumbukize kwenye biashara mtaniambia.
Yaani wewe kwanza ni limbukeni wa magari and it's more than clear kwamba hujawahi own magari kwenye maisha yako. Gari yeyote ile, either ya biashara au binafsi unanunua after having a running business inayo generate enough income kutosheleza mahitaji yako au una stable source of income. Gari kama gari haiwezi kukutengenezea faida na ikajipa huduma stahiki iendelee kukaa barabarani. Wenzako hizo Alphard wananunua ziwaongezee tu kakitu kadogo from their main hustles, they call it pocket money. Alafu comprehensive unadhani watu wanakata kata tu..? You still have a lot to learn on business kabla hujaanza kushauri watu.Inategemea aina ya biashara unayopenda kufanya , kwa upande wangu napenda biashara yenye nature ya kukodisha mambo ya biashara kununua na kuuza ndio nataka kuanza sasa hivi . Kama upo dar unaweza nunua alphard around 20M utakuwa unakodisha , ila hakikisha unakata comprehensive insurance ili likitokea lolote unaweza kurecover hela , halafu hiyo hela ndogo ndogo utakayokuwa unapata sasa ndio anzisha biashara nyingine ndogo. Hapo utakuwa unaingiza hela mdogo mdogo ukijipata uza gari kafanye biashara utakayoona inafaa sasa
Biashara za karatasiNipe hiyo hela
Nakufungia mzigo South tunaanza na pc 5000 kila pc faida 3000*5000 Unakula 15,000,000 yako net
Safari zako mbili kwa mwezi una Nyooo ha tu miguu
Biashara za karatasi
Isije kuwa ni biashara za mahesabu ya TIKITI MAJIAmini hivyo[emoji28][emoji28]
Isije kuwa ni biashara za mahesabu ya TIKITI MAJI
Kwa nini asifanye biashara zinazoinvolve frame?Usifanye biashara zinazo involve TRA na maswala ya frame kama haujawahi kufanya biashara before, hautoamini macho yako. Biashara zina siri nyingi ambazo utazijua as days goes by.
Frame mambo mengi mzee wangu, mpaka biashara isimame ushafanya mambo kibao ya kukumalizia hela kabla hujaingiza hela, we unadhani frame zinalipiwa tu na kuanza biashara tu kiboya boya..? Utapiga mihayo hadi usiamini macho yakoKwa nini asifanye biashara zinazoinvolve frame?