ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Tafuta Oder maduka ya jumla nenda hapo Nairobi viwanda ni vingi nunua mzigo pita border lipa ushuru mpelekee aliyekupa order ni rahisi kuona unachofanya kinalipa au kuna faida au hasara.
Kuliko kuwaza hizo changamoto kabla hujatia maguu ukiwazia hizo figisu hakuna biashara utafanya!
Na hakuna biashara rahisi tu isiyo na mazonge zonge jitoe kweli na uamue ni nini unataka kufanya kuna mambo kuyaelewa lazima hela ikitoke kama sio kukatika.
Wakati nimetoka machimboni hela nilikuwa nayo mawazo kama yote shika hili acha lile mara hapa umechukua chumba sio na ushaweka vitu kwa ujumla hela inazidi kukata tu.
Cha ajabu hela imebaki kidogo ndo sasa unagundua kipi cha kufanya na hela imebaki kidogo wakati mwanzo ulikuwa na uwezo au mtaji mzuri!