Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Wewe umefanikiwa katika lipi?
Kwa namna gani?
Kwa kipindi gani?
Tupo mifano japo mitano ya fursa nyingi ambazo zipo Tanzania vijana wanashindwa kuziona
Namna ya kuzifanyia kazi wakatoboa

Ukijibu hapa itakuwa umetoa darasa zuri
Sawa,
Asante Kwa maoni yako Kwa kuanzia tu
Mimi nipo busy Sina muda wa kukufungua fikra

Kwa kuanzia Kuna Eric shigongo ana kipindi CHAKE YouTube kinaitwa street university

Kuna somebody Nnauka unaweza Anza nae pia kuweza kuamsha fikra na ku brash ubongo wako...

Pia hata Hayati Ruge mutahaba alikua na tamasha la fursa...

Kwa ujuaji na ubishi wabongo hatujambo...

Badala ya kudownlod xxx videos na nyimbo za kamatia chini tujaribu walau kujielimisha Kuna online courses na hata VETA kufungua bongo zetu kupitia internet so zipo nyingi tu za kuweza kutufungua ubongo zetu..

Is up to you..
 
Mbona biashara ya jumla inalipa sana mkuu.
Na uzuri wa hii biashara faida yake ni traceable, ukiuza leo unajua kabisa leo nimepiga faida kiasi gani, nimefeli wapi nk.
Ni location na mtaji tu.

Ushauri wangu, chukua hiyo 3M ya juu fungua hata mangi shop ya mahitaji ya nyumbani sehem iliyochangamka. Wakati unawaza ufanye nini walau hela kidogo iwe inazunguka huku ukitafuta mawazo mapya.

Hiyo mangi shop ndo uwe walau unapatiamo tuhela twa kusogeza siku kuliko kukaa na mzigo ndani.
 
Wewe unafanya biashara gani? Chief
 
Mtaji wake kwa haraka haraka unaweza kumgharimu pesa ngapi? Location ikiwa town dar es salaam
Kwa daslam sijajua mkuu, mimi nilikua mbeya.
Ila hizi za dar nyingi naona wanauza pombe kali pekee, kwa kule mbeya inakua depo ya soda, bia na shelves zinajaa vikali kama za huku dsm.

Kwa dsm sogeza huduma maeneo ambayo yako mbali kidogo na mji uweke hivyo vyote then unakua unasambaza kwenye grocery, maduka na bar za karibu na unakua na kijana wako wa derively.

Mtaji hapo ni ngumu kukadilia maana bei za dsm sijazinyaka fresh ila kati 5M-10M inatosha kwa ajili ya bidhaa na kama huna kreti tupu.
 
Hii biashara ya vinywaji NILIFANYA mwaka 2017, nilikuwa nauza maji na soda za jumla mtaani,niliweka tai chini nikawa nabeba creti , Kuna mama nilimpelekea creti mbili hakunilipa aisee ,kwenye vinywaji mti akishindwa kulipa creti 2 sawa na faida ya siku kama nne hivi inakuwa imepotea. Baadae tukawa wengi mtaani kijana niliyemuweka akazingua wakati nimemnunulia na guta la pikipiki

Shida tupu nikafunga biashara hela yote nikaenda kununua kiwanja Cha kujenga nyumba ya kuishi. Nashukuru nilijenga nikamaliza na kuhamia
 
Kwa daslam sijajua mkuu, mimi nilikua mbeya.
Ila hizi za dar nyingi naona wanauza pombe kali pekee, kwa kule mbeya inakua depo ya soda, bia na shelves zinajaa vikali kama za huku dsm.

Kwa dsm sogeza huduma maeneo ambayo yako mbali kidogo na mji uweke hivyo vyote then unakua unasambaza kwenye grocery, maduka na bar za karibu na unakua na kijana wako wa derively.

Mtaji hapo ni ngumu kukadilia maana bei za dsm sijazinyaka fresh ila kati 5M-10M inatosha kwa ajili ya bidhaa na kama huna kreti tupu.

Yeah Chief, hapo nimekuelewa
 
Sawa,
Asante Kwa maoni yako Kwa kuanzia tu
Mimi nipo busy Sina muda wa kukufungua fikra

Kwa kuanzia Kuna Eric shigongo ana kipindi CHAKE YouTube kinaitwa street university

Kuna somebody Nnauka unaweza Anza nae pia kuweza kuamsha fikra na ku brash ubongo wako...

Pia hata Hayati Ruge mutahaba alikua na tamasha la fursa...

Kwa ujuaji na ubishi wabongo hatujambo...

Badala ya kudownlod xxx videos na nyimbo za kamatia chini tujaribu walau kujielimisha Kuna online courses na hata VETA kufungua bongo zetu kupitia internet so zipo nyingi tu za kuweza kutufungua ubongo zetu..

Is up to you..
Motivation speaker
 
Kwa daslam sijajua mkuu, mimi nilikua mbeya.
Ila hizi za dar nyingi naona wanauza pombe kali pekee, kwa kule mbeya inakua depo ya soda, bia na shelves zinajaa vikali kama za huku dsm.

Kwa dsm sogeza huduma maeneo ambayo yako mbali kidogo na mji uweke hivyo vyote then unakua unasambaza kwenye grocery, maduka na bar za karibu na unakua na kijana wako wa derively.

Mtaji hapo ni ngumu kukadilia maana bei za dsm sijazinyaka fresh ila kati 5M-10M inatosha kwa ajili ya bidhaa na kama huna kreti tupu.
Mkuuu kwa nn uliacha wakati unapata faida?

Ulikuwa unauzia mbeya sehemu gani
 
Mbona biashara ya jumla inalipa sana mkuu.
Na uzuri wa hii biashara faida yake ni traceable, ukiuza leo unajua kabisa leo nimepiga faida kiasi gani, nimefeli wapi nk.
Ni location na mtaji tu.

Ushauri wangu, chukua hiyo 3M ya juu fungua hata mangi shop ya mahitaji ya nyumbani sehem iliyochangamka. Wakati unawaza ufanye nini walau hela kidogo iwe inazunguka huku ukitafuta mawazo mapya.

Hiyo mangi shop ndo uwe walau unapatiamo tuhela twa kusogeza siku kuliko kukaa na mzigo ndani.
Ushauri mzuri sana huu.
 
Usiwaze Sana Anza biashara changamoto utatatua ndani ya biashara husika unayotaka kufanya lasivyo utashangaa plan na mtaji vyote vimeisha ENTREPRENEUR NI RISK TAKER SO DON'T BE AFRAID TO BE A RISK TAKER ONCE YOU START SOMETHING CHALLENGES WILL BE SOLVED
 
Asee mkuu pole Sana, katka falsafa za financial tunasema ume fail Yan kupata pesa Kisha ndo ufkirie Cha kufanya hayo Ni makosa ,anyway acha nkwambie ktu mawazo ya biashara Ni meng Ila tambua yafuayayo
1.money without financial education is soon money gone
2."It is not how much you earn ,it is how much you keep"
Kwa ufup unahitaj financial education kabla hta ya kuanza biashara unayotaka kufanya.
 
Back
Top Bottom