Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
Unaleta usomi mwingi na analysis kibao nenda kusini kanunue nazi na mihogo tafuta nafasi sokoni katika hiyo hela tumia chinni ya 5M huwezi kuona matokeo bila kuchukua hatua jinsi unavyousoma mchezo ndivyo unavyoamua kuongeza mtaji au kubaki na huohuo ukiendelea kuitafakari, usianze biashara kwa kuweka mtaji wote kwenye biashara moja.
 
Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
njoo dm nikupe mchongo utanishukuru
 
Watu kama nyie nawaona wengi sana huku mtaan kwa mfano ananunua gari canter au fuso mwisho wa siku anafirisika sasa huwa najiuliza hizo mpaka ananunua gari alizipataje kwanin asiendeleze izo mishe zilizompatia izo ela na ndo kiwe chazo kikubwa cha kipato chake? Kwa mfano kama wewe hizo 40M umezipata kwa njia gani? Hii inamaanisha kwamba unachokifanya kinalipa bas kitanue ichoicho ? Au umeiba izo ela?
 
njoo na 20m nikuingize kwenye biashara ya magari used within 4 month's usipokuwa na 40m niite mbwa
 
Watu kama nyie nawaona wengi sana huku mtaan kwa mfano ananunua gari canter au fuso mwisho wa siku anafirisika sasa huwa najiuliza hizo mpaka ananunua gari alizipataje kwanin asiendeleze izo mishe zilizompatia izo ela na ndo kiwe chazo kikubwa cha kipato chake? Kwa mfano kama wewe hizo 40M umezipata kwa njia gani? Hii inamaanisha kwamba unachokifanya kinalipa bas kitanue ichoicho ? Au umeiba izo ela?
Hahahah mtu kapiga mshindo wake akiwa ofisini. Katimuliwa kazi hajui cha kufanya na hio hela aliopigaga.
 
Hii biashara ya vinywaji NILIFANYA mwaka 2017, nilikuwa nauza maji na soda za jumla mtaani,niliweka tai chini nikawa nabeba creti , Kuna mama nilimpelekea creti mbili hakunilipa aisee ,kwenye vinywaji mti akishindwa kulipa creti 2 sawa na faida ya siku kama nne hivi inakuwa imepotea. Baadae tukawa wengi mtaani kijana niliyemuweka akazingua wakati nimemnunulia na guta la pikipiki

Shida tupu nikafunga biashara hela yote nikaenda kununua kiwanja Cha kujenga nyumba ya kuishi. Nashukuru nilijenga nikamaliza na kuhamia
Madeni yanaua sana hii biashara, ila ukiwa na mtaji mkubwa/frem yako unaweza usiwe unakopesha kwa wateja wasioaminika ama lah unakua na standards zako za kumpa mtu bidhaa kwa mkopo.
Wanakopa mno mno ukiwaendekeza unafunga hata miezi 3 humalizi.
 
Biashara sio Bidhaa flani.. Biashara ni model ya uendeshaji wa Biashara husika.

Model ya Biashara inafanikisha uuzikaji wa kila Bidhaa.

1. Chukua Nusu ya Pesa yako.. Nenda CRDB bank ulizia kuhusu UTT-AMIS (( Kama unaishi ndani ya Majiji Matano ya Tz.. fika moja kwa moja Ofisi za UTT-AMIS )).. Fungua account weka nusu ya pesa yako. Faida utapata.. kwa maelezo zaidi fika kwenye Ofisi zao.

Pesa iliyobaki sasa

2. Kaa mwenyewe.. kwa kuzingatia uwezo wako binafsi.. kiakili.., kifikra.., ujasiri.. nk
Buni au Chagua Business model (( means of running your business ))
mfano:-
• Kuwa Manufacturer wa bidhaa fulani then ukawauzie wauza kwa Jumla.
• Kuwa Assembly wa bidhaa fulani.
• Kuwa Supplier wa bidhaa fulani.. hapa huhitaji Kuwa na duka.. mchawi ujue Chimbo la Bidhaa.. China, Tz hapa hapa, Ugand keny nk
Jifunze kuendesha Biashara kwa mtaji mdogo kwanza.

NB:- Usianzishe Biashara yoyote ndani ya flemu (( kwamba unakodi flemu then unaingiza mzigoo, Bro utazeEka na hiyo 40M itakuyeyuka mikononi bila kujua)) .., Ila hiyo ya flemu iwe hatua ya Mwisho baada ya kuwa umepata ufahamu na Uelewa wa Lugha za biashara.. PIA Jitahidi kwenda kinyume na kila kitu unacho kijua hapa Ndio #Code ya mafanikio ilipo.. usifuatishe kila kitu.. FANYA BILA KUVUNJA SHERIA WALA KUSABABUSHA MADHARA KWA WATU.. Inawezekana.

Na Mwenye Enzi Mungu akubaliki.

#MKUU ANZA BIASHARA.. ANZA BIASHARA.. kuanza ndio kazi Ila usianze na flemu. Dandia mabega ya waiopo.

Huu ndio Ushauri wangu

[emoji2398] Chuman.com
Naomba utufafanulie hapo kwenye kufanya kinyume na unachokijua
 
Mkuu nimeshatafuta watu wengine ni kutoka humu JF wakanipeleka kufanya biashara, nadhani week kadhaa nyuma nilileta MREJESHO namna nilivyofata mwana JF mkoani tukafanya biashara fulani ,niliweka 2.9 nilichoambulia ni 500K soma Uzi wangu wa MREJESHO nilioandika hivi karibuni.

Pili nikasema ngoja nisikilize na upande wa ndg zangu, nikamsililiza mmoja anaishi sumbawanga yeye anasemaga siku zote mtaji ndo shida lakini vijijini Kuna mahindi,uwele,ufuta na na mazao mengine, nikatumbukiza milioni kadhaa akazama vijijini kununua mazao, mwaka wa Jana na mwaka huu miaka yote nikijumulisha na kutoa naona bado hata faida haijaanza kutoka, mara msimu tumekosa huu si msimu mzuri, mara mazao yashuke bei,mara tutunze stoo muda mrefu yanahitaji dawa pale solo kuu la sumbawanga n.k nk

Kwa ufupi wanadhani sijajaribu kufanya vitu nawaonea huruma Mimi ni fighter vibaya mno, ninyi pateni hela zenu na mzitumbukize kwenye biashara mtaniambia.
Amekuibia. Mahindi mwaka jana na mwaka huu yapo juu sana. Sasa hivi Sumbawanga gunia kwa mkulima ni 75k. December itakuwa 120-150k. Nenda mwenyewe huko Sumbawanga. Chukua nyumba weka store magunia yako. Kisha Rudi kutoa mrejesho December.
 
Business idea and plan inaanza kabla hujapata pesa ya mtaji.
That's right, fursa inakuja yenyewe automatically kichwani ikiwa associated na courageous toka moyoni na rohoni uwe na pesa au usiwe nazo, mtaji uwe mkubwa au mdogo,kwani ndizo zitakazokupa nguvu ya kutokukata tamaa pamoja na uvumilivu mnaita fighting spirit, kwasababu kutokukata tamaa pamoja na uvumilivu ndio msingi wa mfanyabiashara yoyote, kwani biashara zina ups and downs, ni courageous pekee ndio itamvusha.

Ukiona mtu anababaika au ana wasiwasi ipi ni biashara sahihi afanye ili atoke haraka,bora umwambie asifanye biashara tu kwasababu hatakuwa na maono ya hiyo biashara mbeleni, biashara itakufa kirahisi pindi akipata changamoto.
 
Back
Top Bottom