Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Chauoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuanza popote unavyoweza ila uwe na focus ya wapi unaenda huku ukiongeza taratibu2M ni mtaji wa machinga huo mtaji wa kuanzia maisha 8M-12M
Sio rahisi hivyo biashara nyingi faida ni 10%-15 mtaji unaoamuaUnaweza kuanza popote unavyoweza ila uwe na focus ya wapi unaenda huku ukiongeza taratibu
Nimejaribu kuja PM nimeshindwa ila ninachosema kwamba mimi sio tapeli wala mwizi ndio maana nimesema wazi hapa kwambs nilikuja PM.Nawashukuru sana Ndg zangu Kwa michango yenu, wengi wameuliza nimeipataje hii 40m. Nimeipata Kwa kazi ya consultancy na bado nadai hela nyingine kama 23m kama italipwa nitakuwa na ka hela kengine jumala ntakuwa na around 50M hivi karibuni.
Baadhi ya mashauri ya wengi yanaonyesha wengine hawajawahi kufanya biashara kabisa.
Mkuu@chenchele ameanalyse vizuri but that too academic, in practice haifanyiki hata kidogo.
Tanzania mtoa rushwa anapata tender nyingi sana kuliko anayefanya biashara kitaaluma.
Kwa ufupi Ukiingia uringo wa biashara ndipo unaweza kuongea vyema.
Ukiwa na hela mkononi unashangaa kila opportunity uliyokuwa unaweza unaanza kuona haitekelezeki kabisa.
Naomba tuendelee kushauriana tafadhali mkizingatia bado Niko na 33m na week hii naweza kudraw 1M Kwa matumizi yangu binafsi itabaki 32m na Kuna 23 nadai italipwa muda wowote.
Karibuni
Uje inbox nikupe bia 2 tuuu basiThat's right, fursa inakuja yenyewe automatically kichwani ikiwa associated na courageous toka moyoni na rohoni uwe na pesa au usiwe nazo, mtaji uwe mkubwa au mdogo,kwani ndizo zitakazokupa nguvu ya kutokukata tamaa pamoja na uvumilivu mnaita fighting spirit, kwasababu kutokukata tamaa pamoja na uvumilivu ndio msingi wa mfanyabiashara yoyote, kwani biashara zina ups and downs, ni courageous pekee ndio itamvusha.
Ukiona mtu anababaika au ana wasiwasi ipi ni biashara sahihi afanye ili atoke haraka,bora umwambie asifanye biashara tu kwasababu hatakuwa na maono ya hiyo biashara mbeleni, biashara itakufa kirahisi pindi akipata changamoto.
Ukimwambia mtu asiye na hizo hela anakushangaaNina tatizo kama lako ila mimi nataka kubadilisha tu biashara. Nilifanya biashara nimapata ziaid ya milion 21.
Kwa sasa nataka kubadilisha biashara. Amini usiamini huu ni mwezi wa 7 sijajua biashara nyingine ya kufanya.
Nipo tu, mzigo ulikuwa milion 21 kwa sasa nimebakiza 16.
Hawawezi kuelewa hii struggle ya kutafuta biashara ya kufanya ukiwa na mzigo tayari.Ukimwambia mtu asiye na hizo hela anakushangaa
Kwa Sasa natafuta Eneo zuri nifungue biashara ya pesa, bank na mitandao ya simu ili niwe naingiza chochote wakati nikifanya negations mbaalimbali za kuwekeza.Hawawezi kuelewa hii struggle ya kutafuta biashara ya kufanya ukiwa na mzigo tayari.
Anyways, kwa sasa wewe una wazo gani la biashara?
Uko sahihi na Ugumu zaidi ni kuifanya hiyo biashara kuanza kuleta faidaNi muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Kuna jamaa yuko UK huwa ananunua ile mizigo ya Old stock kwenye supermarket ya Aldi then anaziingiza Zanzibar ambapo Ana Warehouse kubwa pale.Kwa Sasa natafuta Eneo zuri nifungue biashara ya pesa, bank na mitandao ya simu ili niwe naingiza chochote wakati nikifanya negations mbaalimbali za kuwekeza.
Uzuri kama nikipata project inayoeleweka Nina uwezo wa kupata hela nyingine from other sources sasa mpaka upate hiyo project ni mtihani
Madafu.Uoga wako ndio umasikini wako.
mi niliingia kwenye biashara ya mikopo umiza bila kuhoji wala kufanya data collection.
cha msingi nilijichunga na chuma uleteView attachment 2706206
just start you will figure it out when you face challenges!Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
just start you will figure it out when you face challenges!Ni muda wa miezi kadhaa,sasa Niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa ,Bank Wakala,na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtajinunaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla Nikawaza nani akae pale na faida yake uwa ni kidogo sana hii biashara nikiangalia wanaofanya hawaendelei
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi sumbawanga lakini wapi siku hizi mahidi hamna kule, serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Africa hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani,juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Mkuu ebu nisome kwenye post no 249 nimekuquote.Kwa Sasa natafuta Eneo zuri nifungue biashara ya pesa, bank na mitandao ya simu ili niwe naingiza chochote wakati nikifanya negations mbaalimbali za kuwekeza.
Uzuri kama nikipata project inayoeleweka Nina uwezo wa kupata hela nyingine from other sources sasa mpaka upate hiyo project ni mtihani
Mda mwingine ukiona biashara inasumbua unaweza ukanunua viwanja na kuanza kujenga,ili uendelee kuwaza namna ya kuanzisha biasharKwa Sasa natafuta Eneo zuri nifungue biashara ya pesa, bank na mitandao ya simu ili niwe naingiza chochote wakati nikifanya negations mbaalimbali za kuwekeza.
Uzuri kama nikipata project inayoeleweka Nina uwezo wa kupata hela nyingine from other sources sasa mpaka upate hiyo project ni mtihani