[emoji3103]Mkuu fungua duka la electronics hapo mjini.hakikisha unauza hizi ear pods,chargers,simu(pixel and iphones),laptops(wanachuo mazoba kabisa),speakers, [emoji3103]Kwa kuanzia hapo
Hakikisha fremu yako Ina taa Kali sana na mwanga wakutosha
[emoji3103]Fremu kariakoo na makumbusho ni Bei sana nashauri tafuta sehemu nyingine.
[emoji3103]Nunua camera Kali inayoweza kutoka dlsr effect Kwa ajili ya kupiga picha za matangangazo
[emoji3103]Sasa wateja watakuja kwako Kwa kufanya marketing ya hatari
[emoji3103]Hakikisha unajinga na matangazo ya insta FB,na google
[emoji3103]Vitu vyako nunua refubrished...huku bongo wakununa brand new ni wachache(halafu huma hela ya kutosha)
[emoji3103]Vitu nunua Kwa Hawa jamaa wanaenda Dubai....ukikolea nenda mwenyewe
[emoji3103]Ukiuza kitu mwombe mteja mpigie picha ,post kwenye social media hii Ina boost uaminifu (sisi vijana hatuaminiki)