Nimejaribu kuja PM nimeshindwa ila ninachosema kwamba mimi sio tapeli wala mwizi ndio maana nimesema wazi hapa kwambs nilikuja PM.
niko na experience na inshu fulani ambayo nina hakika na nimeifanya kwa muda mrefu sana ila kwa sasa sina mtaji wowote so sijaweza kuendeleza.
Sihitaji mtaji mkubwa,mtaji ninaouhitaji ni mdogo tu kiasi kwamba haitokuwa ni risk kwa upande wako.
SIna mtaji kwa sasa,nina experience ya biashara,sijasema nina idea ya biashara noooo nimesema nina experience ya biashara.
Kila mtu anaweza kuwa na idea ya biashara kwani ni wazo tu,ila experience ndio kitu kikuu ambacho kinanifanya nijiamini kuja kukuandikia hapa hadharani.
Kumbuka : SIHITAJI KIASI KIKUBWA CHA PESA YAKO usije dhani ukija kwangu nitataka milioni 10, au milioni 5 yako au milioni 4 yako au milioni 3 yako au milioni 25 yako au milioni 30yako HAPANA.
KWa wakati huu ni hatari sana kwako kuingiza pesa kwenye IDEA ya biashara,bali kwa sasa ingiza pesa yako pale kwenye EXPERIENCE ya bishara.
Usitoe mtaji kwa mtu ambaye ana idea ya biashara,toa mtaji kwa mtu mwenye experience ya biashsra.
kama hautokuja PM naomba nikushauri kitu kifuatacho ili usitoke patupu,ni hivi kama unataka kuwekeza kwa sasa au kufanya bishara basi hakikisha kwamba lengo lako kuu ni kutafuta experience na sio fedha.
kwa sababu experience ndio itakufanya udumu kwenye game kwa muda mrefu.
Hakuna biashara mbaya ila tu watu wanaziita ni biashara mbaya kwa sababu walikimbia kuexperience changamoto za biashara hiyo.
Karibu sana INBOX tuyajenge