A ASANTELLY New Member Joined Mar 21, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Mar 21, 2013 #1 jamani naombeni ushauri kidogo nataka kuanzisha biashara ya kuku sasa ni kuku wapi wanafaida sana na wanalipa sana na kama unataka kuanza na kuku mia moja unatakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
jamani naombeni ushauri kidogo nataka kuanzisha biashara ya kuku sasa ni kuku wapi wanafaida sana na wanalipa sana na kama unataka kuanza na kuku mia moja unatakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,006 Reaction score 1,255 Mar 21, 2013 #2 Tembelea kitunda, ujionee mwenyewe en visu, kisasa vs kienyeji