jamani naombeni ushauri kidogo nataka kuanzisha biashara ya kuku sasa ni kuku wapi wanafaida sana na wanalipa sana na kama unataka kuanza na kuku mia moja unatakiwa kuwa na mtaji wa kiasi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.