KiwandaniTz Member Joined Jan 8, 2019 Posts 44 Reaction score 38 Jun 30, 2020 #1 Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE. Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE. Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
Sim Card JF-Expert Member Joined Dec 30, 2019 Posts 881 Reaction score 1,601 Jun 30, 2020 #2 Tafuta mafundi gereji wazoefu hapo ulipo wanajua.Watakupa ushauri
KiwandaniTz Member Joined Jan 8, 2019 Posts 44 Reaction score 38 Jun 30, 2020 Thread starter #3 Sawa sawa,ila pia humu wapo.