Kuanzisha biashara ya service ya magari

Kuanzisha biashara ya service ya magari

KiwandaniTz

Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
44
Reaction score
38
Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE.

Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
 
Tafuta mafundi gereji wazoefu hapo ulipo wanajua.Watakupa ushauri
 
Back
Top Bottom