Ignatus Mkonga
Member
- Sep 15, 2016
- 18
- 9
Ni biashara gani kijana anaweza kufanya akiwa na laki moja na nusu mkononi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani belo moja ni sh ngapi mkuu?Biashara ya nguo za mitumba.
Sifahamu mi nimesajest hiyo biashara kutokana na kukutana na nguo za 2000 karume na wafanya wanaoleta huku mikoani huuza bei juu ya hiyo.Kwani belo moja ni sh ngapi mkuu?
Anunue toroli aende kutega stand au vituo vya daladala abebe mizigoNi biashara gani kijana anaweza kufanya akiwa na laki moja na nusu mkononi?
MmmhAnunue toroli aende kutega stand au vituo vya daladala abebe mizigo
1.biashara ya fruits catering
2. Kibanda cha Tangawizi na gahawa
3.soksi, mashati, culture,
4. Nunua dvd za kihindi au series zozote zinazo bamba kitaa uwe unaweza
5. Kama unaweza hanzisha u tube channel ila hapa ubidi uwe unatembele sehem zile interesting ambazo watu wangependa kwenda then una upload kwene channel yako ( very famous in kenya hiki kitu bongo sijaona[emoji1139])
6. Kama unaujuzi wakitu chochote kama .. Shoe shine, wakupaka rangi kucha za wadada tumia huo kama mtaji
7. Afu sahv nikipindi cha first year wanachuo wewe katafute mitumba mikali uje kuwapiga watoto wanao taka kuwa mabishoo
8.ingia na ubia na biashara yoyote mfano Tafuta muuza chips [emoji489] ambaye hauzi kuku , filigisi au sausages awe anaweka vitu ev kwene kabati lake na mna ongea utakuwa mnalipana vipi
9.kama vip tengenza hata icream zenye flavour za tofauti uza kwa watoto wa shule (inalipa sana kipindi vya shule)
10)……… ..
Hizi ideas zipo realistic sana mkuu! Nimezielewa halafu zinaonekana hazili mtaji mkubwa sana1.biashara ya fruits catering