kuanzisha biashara

kuanzisha biashara

KMay

New Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
4
Reaction score
1
Ndugu wana forum, nataka nifanye biashara ila sija jua ni biashara gani nifanye hapa dar, nina sh milion 3 kama mtaji.

Naomba mchanganuo
 
Linaanza wazo halafu mtaji unafuata. Hiyo hela nenda bar ukatangaze heshima.
 
Back
Top Bottom