K KMay New Member Joined Jan 27, 2012 Posts 4 Reaction score 1 Sep 19, 2012 #1 Ndugu wana forum, nataka nifanye biashara ila sija jua ni biashara gani nifanye hapa dar, nina sh milion 3 kama mtaji. Naomba mchanganuo
Ndugu wana forum, nataka nifanye biashara ila sija jua ni biashara gani nifanye hapa dar, nina sh milion 3 kama mtaji. Naomba mchanganuo
B Buza Member Joined Aug 7, 2011 Posts 57 Reaction score 14 Sep 30, 2012 #2 Linaanza wazo halafu mtaji unafuata. Hiyo hela nenda bar ukatangaze heshima.