Kuanzisha business ya Boutique

Kuanzisha business ya Boutique

mamsapu

Senior Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
111
Reaction score
25
Habari wanajamii wenzangu. Mimi nataka kuanzisha biashara ya nguo za watoto na kike.

Nia yangu nizinunue marekani. Nafahamu kule ni bei juu kidogo na process ni ghali kidogo.

Mimi naomba kwa anayeweza kunisaidia kunipa mchanganuo wa gharama ya kuanzisha,yaani mtaji halisi. Meaning garama za usafiri, Malazi, garama za mizigo na garama on average za kununua nguo.

Nitashukuru sana.
 
hongera sana...ngoja waje wajuzi wa mambo watakujuza
 
Mmi sijafanya biashara though naijua kidogo ,ni ngumu kuchukua mzigo kwenye strong currency kuleta kwenye weak currency itakugharimu sana na utapata wanunuzi wachache. Kwa mazingira yetu ukitaka kufanya biashara especially ya nguo usilete nguo utakazouza zaidi ya 50,000 maana wanunuzi wengi ni wadada wengine wanafunzi na wengine fresh from school so kipato chao ni cha wastani ,na hawa ndo wengi sana na ukiwalenga utapata wateja wengi
Kwa nini usijaribu kuchukua China , maana hata marekani wengi wanachukua bidhaa zao China
 
Back
Top Bottom