Mmi sijafanya biashara though naijua kidogo ,ni ngumu kuchukua mzigo kwenye strong currency kuleta kwenye weak currency itakugharimu sana na utapata wanunuzi wachache. Kwa mazingira yetu ukitaka kufanya biashara especially ya nguo usilete nguo utakazouza zaidi ya 50,000 maana wanunuzi wengi ni wadada wengine wanafunzi na wengine fresh from school so kipato chao ni cha wastani ,na hawa ndo wengi sana na ukiwalenga utapata wateja wengi
Kwa nini usijaribu kuchukua China , maana hata marekani wengi wanachukua bidhaa zao China