Benaco
Member
- May 17, 2017
- 57
- 125
Habari Wakuu,
Kuna jamaa yangu yeye ni Mmiliki wa phamasi na ni phamasia by proffesional alikuwa ni mara nyingi amekuwa akinishawishi tufungue clinic ambayo haitakuwa ya kulaza (yaani tuwe na jengo la vyumba vitatu au vinne) na kwa wazo lake ameshauri tufanyie nje ya mji ambapo kwa tafiti zake anadai kuna wingi wa watu.
Je kuna mwenye idea ya ili aniondoe wasiwasi wa kutumbukiza pesa chooni?
Je ni costs kiasi gani tunaweza occur?
Je ni wapi tunapaswa kuanzia kusajiri?
Je ni vifaa gani vya awali tunapaswa kuwa navyo kwa ajili ya LAB?
Nawasilisha.