Kuanzisha Clinic

Kuanzisha Clinic

Benaco

Member
Joined
May 17, 2017
Posts
57
Reaction score
125
Habari Wakuu,

Kuna jamaa yangu yeye ni Mmiliki wa phamasi na ni phamasia by proffesional alikuwa ni mara nyingi amekuwa akinishawishi tufungue clinic ambayo haitakuwa ya kulaza (yaani tuwe na jengo la vyumba vitatu au vinne) na kwa wazo lake ameshauri tufanyie nje ya mji ambapo kwa tafiti zake anadai kuna wingi wa watu.

Je kuna mwenye idea ya ili aniondoe wasiwasi wa kutumbukiza pesa chooni?
Je ni costs kiasi gani tunaweza occur?
Je ni wapi tunapaswa kuanzia kusajiri?
Je ni vifaa gani vya awali tunapaswa kuwa navyo kwa ajili ya LAB?

Nawasilisha.
 
Unajua maana ta neno "Clinic"??..... Unataka Clinic inayodeal na mambo gani??
 
Mimi mwenyewe nina Legal Clinic kwny Chamber yangu siku ya Jumatano na ijumaa kila wiki inyohusu women & children rights (Mirathi, Ardhi, ndoa, torts n.k) so eleweka presentation yako ili upate ideal za wajuzi wa sekta husika.
 
May be anamaanisha maabara ya kupimia magonjwa ya binadamu!
 
Habari Wakuu,

Kuna jamaa yangu yeye ni Mmiliki wa phamasi na ni phamasia by proffesional alikuwa ni mara nyingi amekuwa akinishawishi tufungue clinic ambayo haitakuwa ya kulaza (yaani tuwe na jengo la vyumba vitatu au vinne) na kwa wazo lake ameshauri tufanyie nje ya mji ambapo kwa tafiti zake anadai kuna wingi wa watu.

Je kuna mwenye idea ya ili aniondoe wasiwasi wa kutumbukiza pesa chooni?
Je ni costs kiasi gani tunaweza occur?
Je ni wapi tunapaswa kuanzia kusajiri?
Je ni vifaa gani vya awali tunapaswa kuwa navyo kwa ajili ya LAB?

Nawasilisha.
Madaktari waje wajibu maswali.
 
Mimi mwenyewe nina Legal Clinic kwny Chamber yangu siku ya Jumatano na ijumaa kila wiki inyohusu women & children rights (Mirathi, Ardhi, ndoa, torts n.k) so eleweka presentation yako ili upate ideal za wajuzi wa sekta husika.
Maabara mkuu
 
Habari Wakuu,

Kuna jamaa yangu yeye ni Mmiliki wa phamasi na ni phamasia by proffesional alikuwa ni mara nyingi amekuwa akinishawishi tufungue clinic ambayo haitakuwa ya kulaza (yaani tuwe na jengo la vyumba vitatu au vinne) na kwa wazo lake ameshauri tufanyie nje ya mji ambapo kwa tafiti zake anadai kuna wingi wa watu.

Je kuna mwenye idea ya ili aniondoe wasiwasi wa kutumbukiza pesa chooni?
Je ni costs kiasi gani tunaweza occur?
Je ni wapi tunapaswa kuanzia kusajiri?
Je ni vifaa gani vya awali tunapaswa kuwa navyo kwa ajili ya LAB?

Nawasilisha.
Hivi kigwangwala kamishiwa maliasili eee!!!
 
Nikurahisishie labda dental,paediatric,gynaecologic, urology,surgical, diabetic clinic,etc.or RCH clinic? Rahisisha
 
Back
Top Bottom