kuanzisha gym ya kisasa

kagosha

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
99
Reaction score
29
jamani wana jamnvi nataka kufungua mradi wa gym ya kisasa, je nini mahitaji na vifaa vya msingi kuanzia ni vipi. Naweza kuanza na kiasi gani maana gharama ya vifaa hivyo sijajua bado.
 
Mkuu safi sana, Watanzania tunazungumza sana vitendo 0.00%.

Kama unafedha safiri nenda Dubai chukua contena zima la vifaa vya kisasa ni bei rahisi mno, vifaa vya kuanzia ni vizuri vingi viwe vya aerobics/cardio i.e cross trainer,Trademills na spining byscle then vya upande wa weight lifting weka vichache. DSM gym ya kisasa ni moja tu iko colleseum O'bay na bei yake ni ya ghali sana, mjini kati gym ni moja tu, gymcana club na huko bila membership huingii na wakikukubalia itakubidi ulipe laki na 30 kwa mwezi na unapangiwa muda maalumu wa kwenda.

Kama unamtaji wa kutosha fungua city center na wateja nidai mimi.
 
Quite a spot... city entre...utalamba hela kibao za maponjoro na wadosi!
 

Safi sana mkuu, lakini nilitegemea ungeorodhesha vifaa muhimu vya kuanzia na bei zake, unaposema bei rahisi tu kontena zima la vifaa bila kuweka bei haumtende haki muuliza!
 
I better buy this Idea In Iringa.
Huku kuna Gym moja with very lacal made Items.
Iringa pals can Concur with me. Sijui nianzie wapi?
 
Hili ni wazo zuri sana maana ni kitu tofauti na vingine maana kila mtu ana daladala,mara tax mara bajaji bora mkuu umeingia na wazo jingine na watu wengi sasa hivi wanaenda gym so good start zaidi unahitaji more information au muonge mkuu Nguli maana anaonekana yeye anavijulia sana hivi vitu so ongea nae nadhani anaweza kukupa msaada zaidi........
 
nenda ktk search box ingizi egym equipment , itakuja a list of sellers etc,you have to look for manufacturers kwani huwa kuna middle men etc
then u can contact the seller by sending a message to them.u register as a buyer

klik on this link nimekufanyia search of the equipments
vifaa Vya Gym
 
asante sana newmzalendo kwa uzalendo wako, hakika hii link itakuw avery usef kwangu
 
ukifanikiwa kuanzisha gym in Dar ,natumaini nitapata discount ktk membership ,japo 50%discount πŸ™‚
asante sana newmzalendo kwa uzalendo wako, hakika hii link itakuw avery usef kwangu
 
Who are you targeting? How will you reach them? What are there needs?

Jibu hayo maswali mwenyewe kwanza, na kama ukijua nani una muwinda katika biashara yako. Hapa namaanisha tabia, financial structure na mengine mengi. Then inakuja utampataje? na mwisho jee yeye anataka GYM imasaidie nini? Hii ni brainstorm tuu itakayo kupa idea ya vifaa unavyo itaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…